Ni kwanini kwenye ukuaji wa tasnia ya mziki wa kizazi kipya mchango wa shule za sekondari miaka ya 90 haupewi uzito wake?

Dah Mungu mkubwa! Kuacha drugs si jambo jepesi!Hongera sana nawe pia ndg yangu umeweza.πŸ™πŸΎ! God Bless You!.
Nyakati zetu Watemi walikuwa wanavuta Bangi sana

Pale Iringa palikuwepo family ya akina Taurati, Cool Nine, Shedad jamaa walikuwa Watemi sana

Ukija Dar unawakuta tena na basi lao la Simba Luwala, jamaa walitesa sana
 
Zamani utemi ilikuwa sehemu ya maisha na ndo maana kulikuwa na ugomvi wa mashule kwa mashule battle nje nje achia mbali utemi wa form kwa form, form 2 ndo darasa korofi kabisa! Sishangai. Kuzimisha disco ndo mchongo!
 
Ibraa nimehang nae sana Tabata Cha’ngombe miaka flani,alikuwa anakuja kula dawa kwa bro wangu mmoja alikuwa Sadali(pusha)
 
Nafasi yako nzuri serikalini ndo inakufanya uite watu machoko??
 
Sema nyie machawa wa CCM ni wa ovyo kama wahaya wa Tandika na Mwananyamala kisiwani.
 
Nafasi yako nzuri serikalini ndo inakufanya uite watu machoko??
Ukiingia kwny mfumo unakula chuma tu!mimi na mshkaji tumeyamaliza wewe ni nani tena unakuja kuhoji?!Jitahidi ku-manage stress! Kwa kifupi una shobo dundo.Utaliwa.
 
Bush star tena? Si alikuaga mungu wako na washamba wenzio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…