Ni kwanini maeneo mengi ya mijini nchini yanakaliwa sana wamanyema kuliko wenyeji wa mikoa hiyo

kuna utafiti nimeufanya katika mikoa mingi nchini maeneo yote ya mijini yanakaliwa na watu kutokea kabila la wamanyema ....

kwa mfano ukiangalia mikoa kama vile

1.Dar es salaam wazalamo wanajinasibu kuwa ndo mkoa wao na ndo wenyeji lakini ukienda maeneo ya kariakoo, ilala asilimia kubwa maeneo hayo yanakaliwa na wamanyemaaa na ndio wenye nyumba na maeneo nengi wanamiliki wao

2.ukienda bukoba mjini wamanyema ndo wengi na ndio wenye nyumba na ndio wanaotawala mjini lakini ukiwatafuta wenyeji ambao ni wahaya wapo vijijini uko muleba, nshamba, karagwe, kamachumu ,kiziba lakini mjini bukoba mjini walishaondolewa na wamanyema

3.ukienda tabora hivyo hivyo wamanyema ndo wengi ukifika tabora mjini ukiwatafuta wenyeji wa mkoa unawakuta uko vijijini kama sikonge,urambo, mabama, usoke, kaliuwa, nzega,

4.ukienda mbeya mjini wamanyema ndo wako wengi na ndio wenye nyumba lakini wenyeji utawakuta huko vijijini kyela,tukuyu na wilaya zingine

5.ukienda mwanza mjini wamanyema ndo wengi na ndio wenye nyumba na viwanja lakini ukiwatafuta wageni mpka uende vijijini

je ni kwanini wamanyema wengi wanapatikana mijini katika mikoa mingi na ndio wenye nyumba au ndo ile story wazee wengi wa zamani walihonga nyumba na viwanja kwa wamanyemaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kuona wamanyema bukoba na wala siwajui pamoja na kuishi bukoba.mjini Kati kuna wahindi na waarabu wengi na wahaya wamejaa tena Sana ndo maana kihaya kinaongeleka Sana mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna utafiti nimeufanya katika mikoa mingi nchini maeneo yote ya mijini yanakaliwa na watu kutokea kabila la wamanyema ....

kwa mfano ukiangalia mikoa kama vile

1.Dar es salaam wazalamo wanajinasibu kuwa ndo mkoa wao na ndo wenyeji lakini ukienda maeneo ya kariakoo, ilala asilimia kubwa maeneo hayo yanakaliwa na wamanyemaaa na ndio wenye nyumba na maeneo nengi wanamiliki wao

2.ukienda bukoba mjini wamanyema ndo wengi na ndio wenye nyumba na ndio wanaotawala mjini lakini ukiwatafuta wenyeji ambao ni wahaya wapo vijijini uko muleba, nshamba, karagwe, kamachumu ,kiziba lakini mjini bukoba mjini walishaondolewa na wamanyema

3.ukienda tabora hivyo hivyo wamanyema ndo wengi ukifika tabora mjini ukiwatafuta wenyeji wa mkoa unawakuta uko vijijini kama sikonge,urambo, mabama, usoke, kaliuwa, nzega,

4.ukienda mbeya mjini wamanyema ndo wako wengi na ndio wenye nyumba lakini wenyeji utawakuta huko vijijini kyela,tukuyu na wilaya zingine

5.ukienda mwanza mjini wamanyema ndo wengi na ndio wenye nyumba na viwanja lakini ukiwatafuta wageni mpka uende vijijini

je ni kwanini wamanyema wengi wanapatikana mijini katika mikoa mingi na ndio wenye nyumba au ndo ile story wazee wengi wa zamani walihonga nyumba na viwanja kwa wamanyemaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuichunguza sana hao wanaojiita wamanyema ni wale ambao hawana utambulisho, wengi hawawajui baba wazazi wao hivyo kukosa asili, kichaka cha huwa ni kujiita wamanyema
 
Mleta mada hakuwa na maana ya kupotea lugha za asili za maeneo husika nadhani alimaanisha ongezeko la wamanyema Kila Kona ya Tanzania hata Mimi ni mhaya naamini tunathamini lugha yetu ya asili Kama yalivyo makabila mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna utafiti nimeufanya katika mikoa mingi nchini maeneo yote ya mijini yanakaliwa na watu kutokea kabila la wamanyema ....

kwa mfano ukiangalia mikoa kama vile

1.Dar es salaam wazalamo wanajinasibu kuwa ndo mkoa wao na ndo wenyeji lakini ukienda maeneo ya kariakoo, ilala asilimia kubwa maeneo hayo yanakaliwa na wamanyemaaa na ndio wenye nyumba na maeneo nengi wanamiliki wao

2.ukienda bukoba mjini wamanyema ndo wengi na ndio wenye nyumba na ndio wanaotawala mjini lakini ukiwatafuta wenyeji ambao ni wahaya wapo vijijini uko muleba, nshamba, karagwe, kamachumu ,kiziba lakini mjini bukoba mjini walishaondolewa na wamanyema

3.ukienda tabora hivyo hivyo wamanyema ndo wengi ukifika tabora mjini ukiwatafuta wenyeji wa mkoa unawakuta uko vijijini kama sikonge,urambo, mabama, usoke, kaliuwa, nzega,

4.ukienda mbeya mjini wamanyema ndo wako wengi na ndio wenye nyumba lakini wenyeji utawakuta huko vijijini kyela,tukuyu na wilaya zingine

5.ukienda mwanza mjini wamanyema ndo wengi na ndio wenye nyumba na viwanja lakini ukiwatafuta wageni mpka uende vijijini

je ni kwanini wamanyema wengi wanapatikana mijini katika mikoa mingi na ndio wenye nyumba au ndo ile story wazee wengi wa zamani walihonga nyumba na viwanja kwa wamanyemaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Moshi hao Wamanyema hawawezi fika hata 10 na wote lazima wawe wamachinga. Kuna miji huwez kusurvive kama sio mwenyeji
 
Historia inaeleza Wamanyema si Watanzania na chimbuko lao ni DRC na huko wanajulikana Kama Wabembe hatu Hawa istory inasomeka waliikimbia DRC kipindi Cha Rais Mobuttu kwani walionekana kuwa ni adui wa Mobuttu nae akaamua kuwa adui yao ,Ndipo waliikimbia DRC na kupitia Ziwa Tanganyika na kufanya makazi yao huko Mkoa wa Kigoma mwambao wa Ziwa Tanganyika ,I'll waweze kuishi pasipo bughudhaa walijibadri na kujiita Wamanyema bada yakuishi huko kwa mda mrefu na Watu Hawa wa asiri ya akili Sana na kali zao ndizo ziliwawezesha kujipenyeza Kila Kona ya Tanzania na wengi wao pia waliweza kupata elimu ya juu Hadi kupata ajira za kudumu Tanzania lengo lao kujitanua kimaisha na sio Kwetu Tanzania tu hata Nchi zingine kumbuka pia wana unasaba na Watusi Kutoka Rwanda na Africa ya Kati pia ,Wamefaulu kujitanua kwa Siri kubwa Hadi Ulaya na Amerika pia ukitafiti Sana hawako mbali pia kinasaba na Wazayuni wa Israel ,wana uwezo mkubwa na maarifa ficho ila kwa Tanzania wingi wa makabira uliopo ndio ulikuwa msaada mkubwa kwa Wabembe ambao ndio Wamanyema kuzidi kujitanua kwa Siri kubwa ,Wengi wao usishangae wana madraka na vyeo vikubwa Sana Tanzania na Nchi zingine za Afrika

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, hutujui, Wamanyema si Wabembe, usiwe kama hujasoma historia ya Tanzania, Hivi ukiskia Sheikh Amri Abeid Karuta, Sheikh Yahya Hussein, Sheikh Ramiya wa Bagamoyo, Idd Faiz, Idd Tosiri ambao wote ni wanachama wa mwanzo wa TANU walikuwa kabila gani kama si Wamanyema?, tena hilo linajulikana.
Wamanyema kwa kukufahamisha ni jamii iliyozaliwa kwa muunganiko wa makabila ya asili ya mashariki ya Congo huku Tanzania ambao nyumbani kwao hasa ni Kigoma-ujiji, jamii hizo ya kwanza kabisa kukanyaga Kigoma mjini ni Wagoma na ndo inasemekana paliitwa hivyo kwa jina Lao, Jamii zingine zilizounda Wamanyema ni; Wabwari, Wanyakaramba, Wakusu, Waruwa, Wasongye, Wabangubangu na Wabembe Wanyang'nja.
Sasa hao Wabembe unaowasema wa juzijuzi ni jamii inayojitegemea na huzungumza lugha ya kibembe na hutokea Wilaya ya Uvinza(Tongwe/Kigoma kusini) na si kigoma-ujiji.
Pia katika Wamanyema kwa zaidi ya 50% wengi ni wa asili ya wazoba(Wagoma na Wabwari) na wengine ndiyo Wakusu, Waruwa , Wabangubangu jumlisha Kariba zingine zaidi ya 15 ambazo ni mbali kiasili na Wabembe, sasa huwezi sema Wamanyema ni Wabembe.
 
Historia inaeleza Wamanyema si Watanzania na chimbuko lao ni DRC na huko wanajulikana Kama Wabembe hatu Hawa istory inasomeka waliikimbia DRC kipindi Cha Rais Mobuttu kwani walionekana kuwa ni adui wa Mobuttu nae akaamua kuwa adui yao ,Ndipo waliikimbia DRC na kupitia Ziwa Tanganyika na kufanya makazi yao huko Mkoa wa Kigoma mwambao wa Ziwa Tanganyika ,I'll waweze kuishi pasipo bughudhaa walijibadri na kujiita Wamanyema bada yakuishi huko kwa mda mrefu na Watu Hawa wa asiri ya akili Sana na kali zao ndizo ziliwawezesha kujipenyeza Kila Kona ya Tanzania na wengi wao pia waliweza kupata elimu ya juu Hadi kupata ajira za kudumu Tanzania lengo lao kujitanua kimaisha na sio Kwetu Tanzania tu hata Nchi zingine kumbuka pia wana unasaba na Watusi Kutoka Rwanda na Africa ya Kati pia ,Wamefaulu kujitanua kwa Siri kubwa Hadi Ulaya na Amerika pia ukitafiti Sana hawako mbali pia kinasaba na Wazayuni wa Israel ,wana uwezo mkubwa na maarifa ficho ila kwa Tanzania wingi wa makabira uliopo ndio ulikuwa msaada mkubwa kwa Wabembe ambao ndio Wamanyema kuzidi kujitanua kwa Siri kubwa ,Wengi wao usishangae wana madraka na vyeo vikubwa Sana Tanzania na Nchi zingine za Afrika

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili hizi CCM itaendelea kudumu madarakani.
 
Uongo uongo kama huu umemsababishia boss wangu wa zamani bwana Kingwangala kuukosa uprofesa hivi hivi akiwa anaona
 
Back
Top Bottom