Hakuna kitu kama hicho Rwanda kuna one ethnic group!
Umeuliza ili upate kufahamu au umeuliza ili ubishane?Lakini Watusi/Wahutu siyo Kabila bali ni matabaka tu na hakuna tofauti baina yao isipokuwa madaraja ya kimaisha tu, na hivyo nashindwa kuelewa inaangukia vipi kwenye mauaji ya Kimbari!
Umeuliza ili upate kufahamu au umeuliza ili ubishane?
Wana tofauti kubwa sana na hata wakati wa mkoloni (mbeligiji) walikuwa wanapiwa kwa kutumia vernier callipers pua zao kuwatofautisha. Ya mtutsi ikiwa ndefu zaidi........
Lakini kwa nini wanaongea Lugha moja kama ni watu wawili tofauti???
Wewe mbona unaongea lugha moja na mimi wakati hatuko sawa?
Hapana kuna tofauti kati ya Lugha ya nchi ya kuwasiliana na lugha ya asili ya mtu! Mimi na wewe kinachotuuganisha ni Lugha ya Taifa letu ambalo ni jipya yaani kabla ya Wazungu/Mwarabu halikuwepo au tuseme kama Mwarabu/Mzungu asingekuja mimi na wewe tusingeongea lugha moja lkn Unyarwanda wanaongea Lugha Moja ya asili kabla hata ya Wakoloni kuja wote ni sehemu ya Banyarwanda, na hiyo ndiyo tofauti, yaani Wakoloni waliwakuta hawa Wanyarwanda wa leo kama walivyo na Lugha yao Moja ya Asili, sasa ni kwanini wawe na Lugha Moja kama ni watu wawili tofauti?
Sasa Kinyarwanda si ndio lugha ya taifa la Rwanda? Hata Somalia wanaongea Kisomali na wanatandikana toka 1991. Umeambiwa kuna tofauti ya tribe na ethnicity na mdau hapo juu. Jaribu kuelewa tu.....Lugha ni kitu kioja na kuna vingine vingine pia
..kuna WATWA piaKuna wahutu na watusi
Kwa kiasi fulani naweza kukubaliana na wewe. Hapo mwanzo tutsis and hutus were merely "vyeo". Kwa hiyo kimsingi hakutakiwi kuwa na ethnic groups in Rwanda. Ila baada ya wakoloni kuja na sera zao sasa kuna 3 ethnic groups in Rwanda. Regardless of how stupid kwa wanyarwanda kuwa na ethnicity lakini zipo na zina nguvu sana.Hakuna kitu kama hicho Rwanda kuna one ethnic group!
Lakini kwa nini wanaongea Lugha moja kama ni watu wawili tofauti???
Hata hao wasomali pia wana tatizo hilo hilo la Rwanda la kuwa kabila moja lakini kuna ethnicity humo ndani, ndio maana wanapigana kila siku. Ndani ya wasomali kuna makundi ya wasomali wana damu ya kiarabu, wengine wana damu za kishirazi, wengine wana damu za kibantu ila wote ni wasomali.Sasa Kinyarwanda si ndio lugha ya taifa la Rwanda? Hata Somalia wanaongea Kisomali na wanatandikana toka 1991. Umeambiwa kuna tofauti ya tribe na ethnicity na mdau hapo juu. Jaribu kuelewa tu.....Lugha ni kitu kioja na kuna vingine vingine pia
Kwa kiasi fulani naweza kukubaliana na wewe. Hapo mwanzo tutsis and hutus were merely "vyeo". Kwa hiyo kimsingi hakutakiwi kuwa na ethnic groups in Rwanda. Ila baada ya wakoloni kuja na sera zao sasa kuna 3 ethnic groups in Rwanda. Regardless of how stupid kwa wanyarwanda kuwa na ethnicity lakini zipo na zina nguvu sana.