Ndugu
kitu pekee kinachomtambulisha binadamu ni lugha yake ya asili, hii inatambulika Dunia nzima, hivyo
kama hawo unaowaita Watusi wasingekuwa Wabantu ni lazima wangekuwa na lugha yao ni rahisi kihivyo tu!
Nimekupa mifano mingi hata Wajaluo siyo Wabantu na ushahidi pekee ni lugha yao siyo ya kibantu na wamehamia hapa kwetu kutokea Mto Nile huko, hivyo kama Wanyarwanda ambao unawaita Watusi wasingekuwa Wabantu ni lazima Lugha wanayoiongea isingekuwa ya Kibantu, hakuna ushahidi mwingine kwenye mambo ya
ethnology!
Hata Utamaduni wao ni wa Kibantu, majina yao ni ya Kibantu, sasa unatafuta ushahidi gani mwingine??
Hii ni kutoka wikipedia!
Modern-day genetic studies of the
Y-chromosome generally indicate that the Tutsi, like the Hutu, are largely of
Bantu extraction (60%
E1b1a, 20%
B, 4%
E3)