Ni Kwanini Mdude Nyagali hakamatwi na hachukuliwi Hatua Kali Kwa Kuendelea Kumchafua Rais Samia Bila Ushahidi?

Ukimkamata mtu unamuongezea umaarufu maradufu, na pia itakuwa wanamuona ana changamoto fulani ya afya ya akili.
Kama anachangamoto ya akili kama ambavyo wengi tumehisi hivyo basi ni vyema na bora apelekwe Milembe hospitali
 
Anayesemwa anajijua anachofanya ndio maana anaona aibu kulalamika
 
Kwani Tanzania hakuna freedom of speech and right of expression?

Huko USA raia wanawapiga spana sana viongozi wao na hawafungwi wala nn why Tanzania?
 
Wanasiasa huwa na akili za ajabu. Why watu hawakutekwa 2021,2022,2023?

2024 , 2025 watekaji wamekuwa wengi😀😀

Nchi inaitaji Tanzanian Mossad
 
Mdude huenda ana tatizo la akili. Mimi huwa namwonea huruma kwasababu nyuma ya Mdude kuna kina Mbowe wanaomjaza ujinga mwisho wa siku Mdude anajikuta matatizoni. Mdude angekuwa yuko na watu sahihi angekuwa mwanasiasa mzuri wa upinzani. Tatizo yuko na watu wapuuzi wanaotukana mno. Watu wake wa karibu wamweleze hatari inayomkabili. Wakati Mdude anapigika kina Dudley Mbowe watakuwa Southern Sun Hotel wanafyonza mvinyo.
 
Jinga wewe. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee
 
Mimi nafikiri ungekamatwa wewe kwanza kabla ya huyo Mdude; kwa sababu ya tabia yako ya uwendawazimu! Na hivyo kutusumbua humu jukwaani na mada zako za kipuuzi za kusifia hata mambo ya kijinga.
 
Mimi nafikiri ungekamatwa wewe kwanza kabla ya huyo Mdude; kwa sababu ya tabia yako ya uwendawazimu! Na hivyo kutusumbua humu jukwaani na mada zako za kipuuzi za kusifia hata mambo ya kijinga.
Kaaa kwa kutulia uache wenye akili Timamu wajadili hoja.
 
Mimi nafikiri ungekamatwa wewe kwanza kabla ya huyo Mdude; kwa sababu ya tabia yako ya uwendawazimu! Na hivyo kutusumbua humu jukwaani na mada zako za kipuuzi za kusifia hata mambo ya kijinga.
Kaaa kwa kutulia uache wenye akili Timamu wajadili hoja.
 
Anayesemwa anajijua anachofanya ndio maana anaona aibu kulalamika
Vipi maandamano yenu yameishia wapi? Msichezee amani ya Taifa letu .Mngejaribu muandamane muone cha mtema kuni. Bahati yenu mmekimbia na kuweka mpira kwapani.
 
Kwani Tanzania hakuna freedom of speech and right of expression?

Huko USA raia wanawapiga spana sana viongozi wao na hawafungwi wala nn why Tanzania?
Hakuna uhuru wa kutukana matusi watu na kuwazushia uongo na uchonganishi
 
Kumchafua mtu ni kesi ya madai, kisheria defamation au libel. Sio jinai. Hukamatwi kwa kesi ya madai.

Na hakuna sheria maalum kwa ajili ya Rais, au kumchafua Rais. Sheria ya jinai ni moja hiyo hiyo kwa kila binadamu. Haizungumzi kumchafua Rais.
 
Huoni kuwa ametoa tuhuma za uongo na uzushi pia ambazo ni jinai na amevunja pia sheria za kimtandao kwa kutoa taarifa za uongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…