Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Nipo mkoani kwa ajili ya kazi maalum nikaona si vibaya nipange nyumba kabisa kwa sababu kazi hii inaweza kuchukua muda mrefu kumalizika.
Kuna mama mmoja ambae wakati nahamia hapa nilimkuta kwa hiyo namchukulia kama mpangaji mzoefu wa nyumba hii. Huyu mama ana watoto wanne anaishi na kibenten chake amacho hiki kibenten sio baba wa watoto hawa.
Huyu mama kuna siku aligonga hodi kwangu nikamfungulia nikamkaribisha kwenye kiti akaanza kuongea mambo meengi lakini moja ya mambo aliyoniambia ni kuwa toka ameniona siku ya kwanza wakati nahamia hapa alitokea kunipenda kwa hiyo ananihitaji sana kimapenzi.
Nilimsikiliza na mwisho wa siku sikumpa jibu lolote lile. Ile toka siku ile huyu mama ananifanyia vituko balaa, mara anawakataza wanae kuja kwangu eti nitawabaka kwakuwa hapa siishi na mwanamke.