Sijajua kwa sikuhizi lakini Njombe kwa muda mrefu imekuwa ikizungumziwa kwa utofauti wake wa kutokuwa na waarabu na wahindi
Kuna video niliiona jana mtandaoni kuwa waliwahi kuwepo ila walifukuzwa na wa mwisho aliebaki alichinjwa, hivyo wakaambiana huo mji sio salama tena. Kuna ukweli ?