Ni kwanini Rais Magufuli awaogope wapinzani aliowashinda kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa kwa asilimia 99.9?

Ni hatari sana kujiona unaogopwa na kuaminisha watu kwamba wewe ni mwamba wakati hali halisi siyo.

Pambana bila kumdharau mpinzani wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wote wa CCM macho yao yako kwa watumishi wa serikali kuwasaidia kuiba kura basi. Viongozi wa ccm huku kwetu vijijini wanawaogopa sana wapiga kura. Uchaguzi ukianza kila siku kushinda ofisi za Halmashauri na za watendaji wa vijiji unaweza kudhani wapiga kura wanaishi ofisini.
 
Hiyo ni danganya toto tu na kuwabeza CDM mufu. Ni sawa na mtu anakuambia jamaa yangu naona upo vizuri wakati shati lako limechanika mgongoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Nadhani bado kuna ahadi muhimu walizoahidi hawajazitimiza ambazo zinaweza kuwa fimbo yao ya kuadhibiwa ndio maana anayo hofu tena hofu kuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana.
Ni zaidi ya hapo. Ingekuwa ni swala la "kutimiza ahadi" pekee pasingekuwepo na hofu hiyo.

Jitahidi kufikiri kwa kina zaidi ya ulivyofanya. Mimi najua, lakini sikusaidii kwa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…