Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Nadhani Morocco kuna kitu wajifunze. Jamaa pengine ile kubebwa iliwafanya wachukiwe na watu wengi. Hadi nchi za Kiarabu nyingine zilifurahia tukio hili.
Kwanin weusi tiii 😂😂😂😂😂Hasa afrika ya weusi tii, hawa walifurahi kwa sababu morocco ilipofika nusu fainali kombe la dunia lililopita waliwagwaya waafrika wenzao na kusema ushindi wao ni heshima kwa waarabu na waislam. Nchi hiyo ina kiburi cha majivuno, hujiona ni nchi ya uarabuni na iko jirani na ulaya. Sasa waafrika weusi tii nao wakaona wale si wenzao wacha wafungwe mpaka washike adabu kwa waafrika
Hata Jana page yao official ya timu ya Taifa ilitoka taarifa kuwa inepanda kufikia namba 8 viwangonvya Fifa halafu wakaandika first Arab county kushika namba 8 hawakutaja AfricaHasa afrika ya weusi tii, hawa walifurahi kwa sababu morocco ilipofika nusu fainali kombe la dunia lililopita waliwagwaya waafrika wenzao na kusema ushindi wao ni heshima kwa waarabu na waislam. Nchi hiyo ina kiburi cha majivuno, hujiona ni nchi ya uarabuni na iko jirani na ulaya. Sasa waafrika weusi tii nao wakaona wale si wenzao wacha wafungwe mpaka washike adabu kwa waafrika
Laana ya kujifanya wao sio waafrica inawatafuna...Nadhani Morocco kuna kitu wajifunze. Jamaa pengine ile kubebwa iliwafanya wachukiwe na watu wengi. Hadi nchi za Kiarabu nyingine zilifurahia tukio hili.
😆😆😆😆Unaleta mada huku jibu unalo.
Moroco wana bifu lao na Egypt, kwa wengine sijuiNadhani Morocco kuna kitu wajifunze. Jamaa pengine ile kubebwa iliwafanya wachukiwe na watu wengi. Hadi nchi za Kiarabu nyingine zilifurahia tukio hili.