NI kwanini serikali ya kenya isiondoe majeshi yake nchini somalia kuepukana na matukio ya kushambuliwa na al shababu

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
Japo sifahamu kiundani zaidi lakini mambo haya yameanzia wapi lakini taifa la kenya limekuwa likishambuliwa na wana kikundi cha al shababu kwa miaka kadhaa

na hawa al shababu wanadai chanzo cha kuishambulia kenya ni kwa sababu wamepeleka majeshi yao nchini somalia katika ngome ya al shababu sasa kama ndo hivyoo

ni kwanini serikali ya kenya isiondoe jeshi lake nchini somalia ili raia wake waishi kwa amani tuuu ?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungejiuliza kwanini walienda Somalia? Utapata jibu
 
Huo ndio ukweli! Kenya wajitoe kwenye mapigano yasio na faida kwao.

Je kwenye janga la moto "fire break" husaidiaje? au ipi bora upigane na adui ndani ya nyumba yako au upigane naye akiwa kwake?
 
Kila mtu na mtazamo wake! Kenya ndio adui alievamia ardhi ya Somalia, nadhani akiondoa jeshi lake Somalia hii vita itakua imekwisha.
 
Kenya waliingia Somalia kwenda kuzuia utekaji watu mpakani uliokuwa unafanywa na Alshabaab. Tunakumbuka hata Ethiopia nao waliwahi kuingia Somalia kupambana na Alshabaab, walipoona hakuna faida wakaondoka.

Tatizo ni kuwa Alshabaab hawana jeshi moja lililopo kwenye kambi zilizo rasmi, bali wana mtandao wa cells. Cells zinaweza kuwasiliana, kusafirisha silaha, kushambulia na kupata mafunzo mahali popote. Tofauti na majeshi yanayojua uniform, kambi, magari ya jeshi, na zana rasmi za kupigania.

Lazima Kenya wawekeze kwenye mafunzo yatakayoweza kukabiliana na mfumo wa mapambano wa Alshabaab. Mfumo wa jeshi na polisi wa kawaida hauwezi kupambana na Alshabaab.

Tatizo lingine ni kukosekana umoja kwa waafrika katika kukabiliana na changamoto kubwa kubwa. Mimi sioni sababu ya kila ka-nchi kujiendea inavyoona yenyewe. Ni lazima baadhi ya mamlaka yachukuliwe na jumuiya kubwa zaidi mfano kuunda jeshi moja la EAC. Jeshi hili linaweza kupewa mandate ya kupambana na wakorofi wote na hata wale wanaong'ang'ania madarakani na kusababisha vita za wenyewe kwa wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema hapo unaposema EAC wafanye mambo kwa pamoja ndo unakosea. Hawa kweli ni ndugu zetu na tunashirikiana sana ila hili l la Al shabab aisee hapana
Kenya waliingia Somalia kwenda kuzuia utekaji watu mpakani uliokuwa unafanywa na Alshabaab. Tunakumbuka hata Ethiopia nao waliwahi kuingia Somalia kupambana na Alshabaab, walipoona hakuna faida wakaondoka.

Tatizo ni kuwa Alshabaab hawana jeshi moja lililopo kwenye kambi zilizo rasmi, bali wana mtandao wa cells. Cells zinaweza kuwasiliana, kusafirisha silaha, kushambulia na kupata mafunzo mahali popote. Tofauti na majeshi yanayojua uniform, kambi, magari ya jeshi, na zana rasmi za kupigania.

Lazima Kenya wawekeze kwenye mafunzo yatakayoweza kukabiliana na mfumo wa mapambano wa Alshabaab. Mfumo wa jeshi na polisi wa kawaida hauwezi kupambana na Alshabaab.

Tatizo lingine ni kukosekana umoja kwa waafrika katika kukabiliana na changamoto kubwa kubwa. Mimi sioni sababu ya kila ka-nchi kujiendea inavyoona yenyewe. Ni lazima baadhi ya mamlaka yachukuliwe na jumuiya kubwa zaidi mfano kuunda jeshi moja la EAC. Jeshi hili linaweza kupewa mandate ya kupambana na wakorofi wote na hata wale wanaong'ang'ania madarakani na kusababisha vita za wenyewe kwa wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tambua kuwa Jeshi la kenya liliingia Somalia kwa mwamvuli wa AMISOM (AU), ninachokiona ni kwamba Kenya imekuwa targeted sana Kwa sababu:-
1.Ndiyo nchi iliyopo karibu na Somali kati ya nchi zenye majeshi huko mfano Uganda, Burundi, Ethiopia n.k.

2. Kenya na Alshabab wana historia ya vita tangu kipindi cha nyuma, mfano kipindi cha uharamia katika eneo la bahari la Kenya, wahusika walikuwa hao hao Alshababu.

Cha kufanya,
Kenya isiondoe jeshi lake Somalia, ila wawekeze zaidi kwenye mbinu za kiupelelezi na ikiwezekana wasitoe au kusikiliza maelekezo ya wazungu kuhusu namna ya kukabiliana na ugaidi kwa sababu hao ndio wawezeshaji wa ugaidi.

Pia waimarishe zaidi vikosi vya uokoaji hasa kwenye vikosi vyo "Komandoo" na polisi.

Ili kutokomeza tatizo ujue Chanzo chake ni nini. Kenya waliingia Somalia baada ya al shabab kushambulia hoteli lamu na kuteka watalii wawili ambapo utalii ni sekta muhimu kwa Kenya wakati wa Mwai Kibaki. Je Kenya walifanya maamuzi sahihi au la kwa kuingia Somalia ? Mimi naona walikurupuka kuonyesha jamii ya kimataifa wapo Imara. Unaingia vitani baada ya kuona hakuna njia mbadala na unaangalia maslahi mapana zaidi na kupima faida na hasara. Poleni wote waliopoteza ndugu zao na majeruhi. Kunahitajika mjadala wa kujua kwanini taifa la Somalia limesambaratika na Kuanza vita vya wenyewe kwa wenyewe ?
 
Mkuu tambua kuwa Jeshi la kenya liliingia Somalia kwa mwamvuli wa AMISOM (AU), ninachokiona ni kwamba Kenya imekuwa targeted sana Kwa sababu:-
1.Ndiyo nchi iliyopo karibu na Somali kati ya nchi zenye majeshi huko mfano Uganda, Burundi, Ethiopia n.k.

2. Kenya na Alshabab wana historia ya vita tangu kipindi cha nyuma, mfano kipindi cha uharamia katika eneo la bahari la Kenya, wahusika walikuwa hao hao Alshababu.

Cha kufanya,
Kenya isiondoe jeshi lake Somalia, ila wawekeze zaidi kwenye mbinu za kiupelelezi na ikiwezekana wasitoe au kusikiliza maelekezo ya wazungu kuhusu namna ya kukabiliana na ugaidi kwa sababu hao ndio wawezeshaji wa ugaidi.

Pia waimarishe zaidi vikosi vya uokoaji hasa kwenye vikosi vyo "Komandoo" na polisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
KIONGOZI UNACHOKIZUNGUMZA SI KWELI KWAMBA KENYA NDO IMEPAKANA NA SOMALIA PEKEE HAPANA .......

ILA SOMALIA IMEPAKANA NA NCHI KARIBIA NNE KUNA........

1.ETHIOPIA

2.ERITREAA

3.DJBOUTI

PAMOJA NA KENYA YENYEWE LAKINI WENZAO ETHIOPIA,, ERITREA , DJBOUTI
LICHA YA SOMALIA KUWA NI MAJIRANI ZAO HAWAKUPELEKA MAJESHI YAO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alshabaab wametoa tamko kwamba walifanya walichokifanya kwa sababu Trump ameitambua Jerusalem, unafaa kufahamu gaidi huhamisha goli maana neno 'amani' ni hasara kwake.
 
Wengi hawaelewi kwamba hawa magaidi ni vichaa wa kutupwa. Ila ukiangalia maoni ya wengi wa hawa watani wetu utagundua kwamba walitizama zile video za yale mahubiri ya Makaburi na Aboud Rogo, na wakaamini propaganda zao. Leo hii alshabaab wamehamia kwenye Trump na uamuzi wake kuhusu Jerusalem. Kabla ya KDF kuingia Somalia ilikuwa ni Israel na 'blockade' yao kule Gaza. Kesho KDF wakiamua kutoka Somalia wataendeleza mashambulizi ukanda huu kwa kisingizio cha uvamizi wa vikosi vya kigeni kule Syria.
 
Back
Top Bottom