Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,822
Japo sifahamu kiundani zaidi lakini mambo haya yameanzia wapi lakini taifa la kenya limekuwa likishambuliwa na wana kikundi cha al shababu kwa miaka kadhaa
na hawa al shababu wanadai chanzo cha kuishambulia kenya ni kwa sababu wamepeleka majeshi yao nchini somalia katika ngome ya al shababu sasa kama ndo hivyoo
ni kwanini serikali ya kenya isiondoe jeshi lake nchini somalia ili raia wake waishi kwa amani tuuu ?????
Sent using Jamii Forums mobile app