Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,660
- 4,384
kitendo cha magaidi kubadili gia na kudai wamefanya tukio hilo sababu ya trump kuitambua jerusalem kwa macho ya ziada ni kuwa nchi zote zenye ushirikiano na israel kwa ukanda huu zijiandae vilivyo
jiwe kuu na yeye si ameanzisha ushirikiano na israel?
Sent using Jamii Forums mobile app
jiwe kuu na yeye si ameanzisha ushirikiano na israel?
Sent using Jamii Forums mobile app