Ni kwanini Simon Msuva akicheza bila Mbwana Samatta Taifa huwa anajituma maradufu Kuifia Timu hadi Kufunga Magoli muhimu?

Ni kwanini Simon Msuva akicheza bila Mbwana Samatta Taifa huwa anajituma maradufu Kuifia Timu hadi Kufunga Magoli muhimu?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Je,....

1. Ufalme wa Mbwana Samatta unamtesa?

2. Anataka kutuonyesha kuwa Mbwana Samatta ni cha Mtoto tu Kwake?

3. Huamua Kumsusia Timu Kimakusudi Mbwana Samatta?

4. Hampendi Mbwana Samatta?

5. Usimba na Uyanga umewaathiri kwakuwa Msuva ni Yanga SC na Samatta ni Simba SC?

6. Anataka Kuufuta rasmi Ufalme wa Mbwana Samatta na sasa aanze Kuimbwa na Kutukuzwa Yeye?

7. Ana Upendo na Urafiki wa Kinafiki dhidi ya Mbwana Samatta ndani ya Kikosi cha Taifa Stars?

Majibu yenu Muhimu nayasubiri sana.
 
Anafunga magoli sababu anacheza na beki wepesi..

Mfano hai Juzi na congo msuva alisumbua sana kipindi cha kwanza...ila kocha wa congo alivyomuingiza yule beki wa west ham arthur kwenda kumkaba.

Msuva akawa anaruka ruka tu.. msuva hakuingia kwenye box na mpira hata mara moja kipindi cha pili chote. Sabab beki anaecheza ligi ya uingereza sio size yake.

Alienda kumfungia njia zake tu kwenye zone ya msuva kama panya ukimzibia njia zake vile anakuwa anazunguka tu chumbani haend popote
 
Anafunga magoli sababu anacheza na beki wepesi..

Mfano hai Juzi na congo msuva alisumbua sana kipindi cha kwanza...ila kocha wa congo alivyomuingiza yule beki wa west ham arthur kwenda kumkaba. Msuva akawa anaruka ruka tu...
Mbona Samata hajafunga goal hata moja kwa hao unaowaita mabeki wabovu? Acha chuki wewe
 
N combination tu zinakuwa vizur s kwamba samatha hachez vizur
 
Ni wakati sasa kuutambua mchango wa Msuva kwenye Taifa Stars....
 
Anafunga magoli sababu anacheza na beki wepesi..

Mfano hai Juzi na congo msuva alisumbua sana kipindi cha kwanza...ila kocha wa congo alivyomuingiza yule beki wa west ham arthur kwenda kumkaba.

Msuva akawa anaruka ruka tu.. msuva hakuingia kwenye box na mpira hata mara moja kipindi cha pili chote. Sabab beki anaecheza ligi ya uingereza sio size yake.

Alienda kumfungia njia zake tu kwenye zone ya msuva kama panya ukimzibia njia zake vile anakuwa anazunguka tu chumbani haend popote
Safi sana umeongea ukweli lakn Samatta kiukweli hajitumi kabisa anacheza kifather sana anapokuwa na Taifa stars.
 
Back
Top Bottom