MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Mpuuzi mwingine kama mleta mada. Mbwana hajitumi sasa Msuva amsubiri kweli ?!Sio Lichadema hili kweli?
Mbona Samata hajafunga goal hata moja kwa hao unaowaita mabeki wabovu? Acha chuki weweAnafunga magoli sababu anacheza na beki wepesi..
Mfano hai Juzi na congo msuva alisumbua sana kipindi cha kwanza...ila kocha wa congo alivyomuingiza yule beki wa west ham arthur kwenda kumkaba. Msuva akawa anaruka ruka tu...
Safi sana umeongea ukweli lakn Samatta kiukweli hajitumi kabisa anacheza kifather sana anapokuwa na Taifa stars.Anafunga magoli sababu anacheza na beki wepesi..
Mfano hai Juzi na congo msuva alisumbua sana kipindi cha kwanza...ila kocha wa congo alivyomuingiza yule beki wa west ham arthur kwenda kumkaba.
Msuva akawa anaruka ruka tu.. msuva hakuingia kwenye box na mpira hata mara moja kipindi cha pili chote. Sabab beki anaecheza ligi ya uingereza sio size yake.
Alienda kumfungia njia zake tu kwenye zone ya msuva kama panya ukimzibia njia zake vile anakuwa anazunguka tu chumbani haend popote