The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Kazi za ndani za masaa zipo mbona! Vijana wa bustani wapo wanaofanya! Madoctor wenye professional zao wapo hawakai masaa mengi kazini! Waalimu wa part time wanaenda kw avipindi pia wapo! Wachunga ng’ombe wanafanya kwa masaa tu!Habari Wakuu,
Nimejiuliza sana hili swali, Kwann Tanzania hatuja adopt kupeana kazi kwa masaa? Yaani mtu anakupa ajira unafanya 3HRS per day labda mara 4 kwa week na anakulipa kwa week au kwa siku kama mtakavo kubaliana.
Ni kwann hii Tanzania haipo? Unapita pharmacy wana mfanyakazi wa ahsubuhi mpaka jioni lets say saa 12 - 1 kwann wasiajili mwingine wa part time masaa kama manne yanayo baki ili kuendelea ku business pipeline ukizingatia majiji kama dar usiku watu wengi ndo wanarudu majumbani na kufanya manunuzi?
Kazi nyingine ni kazi za ndani, badala ya kukaa na mdada wa kazi, Tunatakiwa tua ajili watu kwa masaa, anakuja ahsubuhi labda mpaka saa saba, kila kazi iko done anatoka kwenda kufanya mishe nyingine sehemu nyingine.
Hili kwann haliwezekani kwetu?
Unakuta mgahawa una operate kuanzia saa 12 mpaka saa nne usiku wafanya kazi ni wale wale 😁 Si lazima watupikie na jasho kwenye supu?
Kazi za ndani za masaa zipo mbona! Vijana wa bustani wapo wanaofanya! Madoctor wenye professional zao wapo hawakai masaa mengi kazini! Waalimu wa part time wanaenda kw avipindi pia wapo! Wachunga ng’ombe wanafanya kwa masaa tu!
Ni kweli kabisa ila high profiled people wengi wana fanya masaa tuNi chache sana Mkuu, Ukiacha Doctors wengine hizo kazi haziko well formulated.
Ofisini kwetu anakuja saa moja saa nne kashasepa anaenda kufanya pengine!Hao vijana wa bustani, hawafanyi kwa masaa wanafanya kwa kipande/Siku.
Wapo wanalipwa monthlyUnapewe kipande kikisha ndo unaenda kuchukua pesa kwa bosi.
Kuna walimu wanafundisha shule hata tatu my dear brother..Walimu: Hawa wanafundisha tuition zisizo rasmi.
Ndio mpaka huyo mtu ajitambue! Nina rafikiangu ni radiologist kwa miaka miwili alikuwa nafanya kazi hospitali kubwa tatu na zote anaingia, asubuhi mpk saa6 yupo hopital x, saa sita mpaka saa 12 yupo hospital y, usiku kucha yupo hospital.. baadae ndio kapata serikalini akaona atulie hapo!kuna watu wanafanya kazi mpaka saa 10, Baada ya hapo unakuta wanazurula tu vijiweni na kwenye mabar mpaka saa tano usiku.
Wakati huyu mtu angeweza kufanya kazi kuanzia saa 11 mpaka saa 4/5 na kujiongezea kipato & Pato la Taifa...
Same na Jumamosi/Jumapili zinapita tu, hatuna part time Jobs.
Mwisho wa siku, Uchumi wa Nchi nzima una delay, kwasababu hatutumii workforce yetu vizuri katika production
Ndio mpaka huyo mtu ajitambue! Nina rafikiangu ni radio grapher kwa miaka miwili alikuwa nafanya kazi hospitali kubwa tatu na zote anaingia, asubuhi mpk saa6 yupo hopital x, saa sita mpaka saa 12 yupo hospital y, usiku kucha yupo hospital.. baadae ndio kapata serikalini akaona atulie hapo!
Sio kwa hawa wakoloni mamboleo!Hyo imekaa poa sana, Tanzania mishahara yetu ni midogo sana ni hatari kua na hizi system za kazi moja siku nzima mwezi mzima.
Tupeane kazi kwa masaa/Results watu wakatafute riziki pengine.
Tanzania bado tuna mentality ya mfanyakazi lazima akae eneo la kazi siku nzima ndio afanye kazi/ aonekane amefanya kazi.
Kwenye biashara part time haiwezekani kwa sababu tunapenda cheap labour yani mtu mmoja afanye kazi ya watu watatu kwa mshahara mmoja full time.
Halafu mfumo wetu bado haujajaa professionalism sana. Part time jobs zinahitaji trust, proper contracts na accountability sasa huku kwetu boss anakutafuta saa yoyote hata ukiwa off.
Mtu anatoka kazini amechoka mentally kuliko hata physically.Dah hii inaumiza sana mkuu, Unakuta mtu yupo analipwa 450k, kazi ahsubuhi mpaka saa2/3 Very unfair.
Baadae watu wanalalamika watu hawafanyi kazi vizuri, mara wanawapiga maboss kumbe tunafanya kwa unyonyaji sana.
Hyo kazi ilitakiwa igawe kwa watu wa2, Hata wafanya kazi wana relax na kua productive
Inategemea na aina ya kazi unayofanya.Habari Wakuu,
Nimejiuliza sana hili swali, Kwanini Tanzania hatuja adopt kupeana kazi kwa masaa? Yaani mtu anakupa ajira unafanya 3HRS per day labda mara 4 kwa week na anakulipa kwa week au kwa siku kama mtakavo kubaliana.
Ni kwann hii Tanzania haipo? Unapita pharmacy wana mfanyakazi wa ahsubuhi mpaka jioni lets say saa 12 - 1 kwanini wasiajili mwingine wa part time masaa kama manne yanayo baki ili kuendelea ku business pipeline ukizingatia majiji kama dar usiku watu wengi ndo wanarudu majumbani na kufanya manunuzi?
Kazi nyingine ni kazi za ndani, badala ya kukaa na mdada wa kazi, Tunatakiwa tu kwaajili watu kwa masaa, anakuja ahsubuhi labda mpaka saa saba, kila kazi iko done anatoka kwenda kufanya mishe nyingine sehemu nyingine.
Hili kwann haliwezekani kwetu?
Unakuta mgahawa una operate kuanzia saa 12 mpaka saa nne usiku wafanya kazi ni wale wale 😁 Si lazima watupikie na jasho kwenye supu?
Jamaa ni mshamba hana exposure.Ni kweli kabisa ila high profiled people wengi wana fanya masaa tu
Ofisini kwetu anakuja saa moja saa nne kashasepa anaenda kufanya pengine!
Wapo wanalipwa monthly
Kuna walimu wanafundisha shule hata tatu my dear brother..
Utapumzika saa ngapi?kuna watu wanafanya kazi mpaka saa 10, Baada ya hapo unakuta wanazurula tu vijiweni na kwenye mabar mpaka saa tano usiku.
Wakati huyu mtu angeweza kufanya kazi kuanzia saa 11 mpaka saa 4/5 na kujiongezea kipato & Pato la Taifa...
Same na Jumamosi/Jumapili zinapita tu, hatuna part time Jobs.
Mwisho wa siku, Uchumi wa Nchi nzima una delay, kwasababu hatutumii workforce yetu vizuri katika production
Naongelea wale wa mjini kazi kidogo pesa kidogo!Hapa nina wasiwasi 😸, itakuwa labda uliona madaktari wa mifugo. Wachunga ng'ombe wakiweza kufika hapo basi kazi karibu zote itawezekana. Enewei labda uliwaona wapi nifanye utafiti kidogo
Ngumu sana hii Kwa matajiri kufanya japokuwa inategemea na kazi, Wamiliki wa biashara wanataka kupunguza cost ili Faida iwe kubwa regardless ya ustawi wa jamii. Kazi nyingi TZ hasa binafsi muda wa kutoka huwa ni mbovu Sana, mfano mtu anaingia kazini Saa moja kamili anatoka Saa kumi na moja au mbili Jioni, tena hapo kapiga mzigo haswa siyo kwamba alikuwa Idle Tu, sasa mtu wa Aina hii hata part time atafanya kwaajili ya pesa na shida na siyo kudeliver quality, ni Serikalini Tu ndio mtu anaweza kuiba muda but sekta binafsi ofisi nyingi ni kuingia ni kuchomoza jua na kutoka ni kuzama jua.
Utapumzika saa ngapi?