The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
- Thread starter
- #21
Jamaa ni mshamba hana exposure.
Ushamba nikufikiri unanifahamu 🚮
Jamaa ni mshamba hana exposure.
Yeah, angalia Sura za watu Asubuhi wanavyokwenda makazini hasa mijini mfano Dar, sura hazina Raha wala nuru, Kila mtu kakasirika...kuda deki, Tukipimana afya ya akili hapa bongo lazima, Namba ziwe juu sana, Maana working condition zimekaa kinyonyaji sana.
kuda deki, Tukipimana afya ya akili hapa bongo lazima, Namba ziwe juu sana, Maana working condition zimekaa kinyonyaji sana.
Ni utumwa kishenzi ,nilijaribu nikajikuta nimeanza kukondeana ,majirani zangu niliokuwa nawasumbua mipaka makusudi ili wajue sheria vizuri nao wakaanza kusema nina ngoma ila navungaNdio mpaka huyo mtu ajitambue! Nina rafikiangu ni radio grapher kwa miaka miwili alikuwa nafanya kazi hospitali kubwa tatu na zote anaingia, asubuhi mpk saa6 yupo hopital x, saa sita mpaka saa 12 yupo hospital y, usiku kucha yupo hospital.. baadae ndio kapata serikalini akaona atulie hapo!
Hizo kazi zenyewe za kufanya ziko wapi?kuna watu wanafanya kazi mpaka saa 10, Baada ya hapo unakuta wanazurula tu vijiweni na kwenye mabar mpaka saa tano usiku.
Wakati huyu mtu angeweza kufanya kazi kuanzia saa 11 mpaka saa 4/5 na kujiongezea kipato & Pato la Taifa...
Same na Jumamosi/Jumapili zinapita tu, hatuna part time Jobs.
Mwisho wa siku, Uchumi wa Nchi nzima una delay, kwasababu hatutumii workforce yetu vizuri katika production
Pole sana ila ukifanya kwa malengo ya muda fulani halafu unaachana nayo sio mbaya mkuu!Ni utumwa kishenzi ,nilijaribu nikajikuta nimeanza kukondeana ,majirani zangu niliokuwa nawasumbua mipaka makusudi ili wajue sheria vizuri nao wakaanza kusema nina ngoma ila navunga
Nikaamua kuachana na hayo mambo
HakikaPole sana ila ukifanya kwa malengo ya muda fulani halafu unaachana nayo sio mbaya mkuu!