Ni kwanini Tanzania Hatufanyi kazi kwa masaa? Kwanini Hatuna Part time Jobs

Lawama zote ziende kwa wakala wa vipimo Tanzania
Haiwezekani bidhaa nyingi kuuzwa kwa mazoea bila kuzingatia vipimo vya uzito wa bidhaa
yaani nyanya zinauzwa kwa mafungu huo si wizi? Na mteja atataka masalo na pilipili kama nyongeza
waafrika sisi ni Nyani sio binadamu

nje ya mada
 
kuda deki, Tukipimana afya ya akili hapa bongo lazima, Namba ziwe juu sana, Maana working condition zimekaa kinyonyaji sana.

Muda wa kufanyakazi inabidi upunguzwe

wale wa serikalini wafanye kazi kwa masaa 6 tu kuanzia saa 2 asbh hadi saa 8 mchna, ili mfanyakazi awe huru kufanya kazi kwingine au biashara zake binafsi

sekta binafsi nayo iwe hivyo hivyo masaa 6 kwa siku, kwa wale wa masaa 24 watakuwa na shifti 4 za masaa 6

Ijumaa na jumamosi
zitabakia ni siku za ibada
 
Ni utumwa kishenzi ,nilijaribu nikajikuta nimeanza kukondeana ,majirani zangu niliokuwa nawasumbua mipaka makusudi ili wajue sheria vizuri nao wakaanza kusema nina ngoma ila navunga
Nikaamua kuachana na hayo mambo
 
Hizo kazi zenyewe za kufanya ziko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…