Ni kwanini tunaotoa Sadaka za Sarafu ( Coins ) Makanisani huwa tunaangaliwa kwa Jicho la Usununu ( Hasira ) na Waumini?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwani Wewe umekuja Kanisani Kusali ( Kuabudu ) au Kumchunguza GENTAMYCINE anatoa Sadaka ipi na Kiasi gani?

Tafadhali Benki Kuu ya Tanzania ( BOT ) kama ikiwapendeza rejesheni zile Noti za Tsh 500/= na mkiweza pia bunini na za Tsh 200/= kwani mtatufichia Aibu Sisi akina Choka Mbaya ambao wakati wa kutoa Sadaka ukitumbukiza tu Tsgi 500/= au Tsh 200/= au hata Tsh 100/= Waumini Wataalam, Wambea na Wanoko watajua tu na baada ya Ibada unageuka kuwa Thread ( Mada ) ya Kujadiliwa nao badala ya Kujadili neno la Kiroho la Siku tulilolishwa bila Mboga na Padre au Paroko au Mchungaji.

Mungu haangalii ukubwa wa Sadaka yako bali Moyo wako, Matendo yako, Imani yako Kwake na Unavyomuabudu. Tusichunguzane tafadhali......!!
 
Mkuu umekunywa mikojo ya nguruwe nini [emoji23][emoji23][emoji23]mbona unaandika ushuzi kama wale watoto wa Mombasa
Maliza kwanza Kuwathibitishia Watu kuwa Wewe ni Mwanaume Mwanamke kama Ulivyojitangaza hapa saws?

Pumbavu.
 
Kwani Wewe umekuja Kanisani Kusali ( Kuabudu ) au Kumchunguza GENTAMYCINE anatoa Sadaka ipi na Kiasi gani?

Tafadhali Benki Kuu ya Tanzania ( BOT ) kama ikiwapendeza rejesheni zile Noti za Tsh 500/= na mkiweza pia bunini na za Tsh 200/= kwani mtatufichia Aibu Sisi akina Choka Mbaya ambao wakati wa kutoa Sadaka ukitumbukiza tu Tsgi 500/= au Tsh 200/= au hata Tsh 100/= Waumini Wataalam, Wambea na Wanoko watajua tu na baada ya Ibada unageuka kuwa Thread ( Mada ) ya Kujadiliwa nao badala ya Kujadili neno la Kiroho la Siku tulilolishwa bila Mboga na Padre au Paroko au Mchungaji.

Mungu haangalii ukubwa wa Sadaka yako bali Moyo wako, Matendo yako, Imani yako Kwake na Unavyomuabudu. Tusichunguzane tafadhali......!!
Acha ubahiri
 
Sio lazima utoe hela, waweza peleka hata makinda mawili ya njiwa
 
Back
Top Bottom