#COVID19 Ni kwanini tunaulazimishia kwa nguvu zote ugonjwa wa Corona kuwa umerudi upya?

666 chata

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
1,700
Reaction score
3,921
sijui kama heading iko vizuri au vp! Ila inashangaza sanaa kuona namna tunavyoulazimishia huu ugonjwa uendelee kuwepo au tunalazimishia kwamba umerudi upyaa!

jamani tumerudi nyuma sanaa kwenye hili. Ni aibu kubwa kuona namna tunavyolazimishia uwepo wa ugonjwa huu, yaani its so unnecessary. Imefikia point kama taifa tunatangaza tuna wagonjwa mia ngapi sijui katika watu milion 60! serius?

tuchukue tahadhari ila tusiupe cheo ugonjwa huu kama tunavyofanya sasa. Hofu ikirudi tatizo tunalikuza upya. Hofu ikirudi ugonjwa utarudi mara milion 1 na tutapata lock down ya u lazima.

hakuna haja ya haya yanayofanyika sasa, Corona tulikwisha ishinda kama taifa mwaka mmoja uliopita tusitishane tena na hakuna lolote jipya ambalo sisi tunaweza kulifanya kwa sasa dhidi ya ugonjwa huu. Sisi tumekwisha ushinda ugonjwa huu muda mrefu sasa hakuna haja ya kutaja taja namba za kujitungia tungia tu kutisha watu na kuukuza ugonjwa upya.

kama mtu anataka chanjo basi akachanjwe na asietaka basi asitake.

sad.
 
Tanzania kama hujapata huwezi kujali....angalia waliopo kigoma huko sasa....ila ukiwa na mgonjwa hospitalini ndio utajua kuwa upo.
Je huu ugonjwa mwaka jana ulikua wapi? Sio tu kua na ugonjwa mimi mwenyewe niliwai kuumwa kabisaa ila ni ugonjwa wa kawaida tu. Hofu ndio inayoua na kukuza jambo ili.
 
Wengi wanakufa....wengi waopona...
Kuwa na pressure nao ni kawaida maana unapata kwa njia zisizoelewwka na unakufa chap chap
Na Kama hospital mitungi ya gas ishakuwa almasi.....ww unafikia nn.
Mtandaoni kuna taharuki kubwa sana ila watu wanaishi maisha ya kawaida sana. Hadi pale atakapopata ndugu mwenye tatizo na akafa
 
Si kuwa umekuja upya ila hili ni wimbi jingine.

#1 bila shaka na kina mahiga na Nkapa
#2 bila shaka na kina Maalim, mwendazake
#3 ni hili la sasa.
#4
#5
.
#nk

Yataendelea kuja mawimbi kila baada ya wimbi kama jitihada za kuutokomeza hazifanyiki.

Ni rahisi kujidanganya maombi yamefanya kazi kuufukuza ugonjwa kumbe ni kupita kwa wimbi husika tu.
 
Tanzania kama hujapata huwezi kujali....angalia waliopo kigoma huko sasa....ila ukiwa na mgonjwa hospitalini ndio utajua kuwa upo.
Kigoma ya wapi watu wamefurika uwanjani
 
sijui kama heading iko vizuri au vp! Ila inashangaza sanaa kuona namna tunavyoulazimishia huu ugonjwa uendelee kuwepo au tunalazimishia kwamba umerudi upyaa!

jamani tumerudi nyuma sanaa kwenye hili. Ni aibu kubwa kuona namna tunavyolazimishia uwepo wa ugonjwa huu, yaani its so unnecessary. Imefikia point kama taifa tunatangaza tuna wagonjwa mia ngapi sijui katika watu milion 60! serius?

tuchukue tahadhari ila tusiupe cheo ugonjwa huu kama tunavyofanya sasa. Hofu ikirudi tatizo tunalikuza upya. Hofu ikirudi ugonjwa utarudi mara milion 1 na tutapata lock down ya u lazima.

hakuna haja ya haya yanayofanyika sasa, Corona tulikwisha ishinda kama taifa mwaka mmoja uliopita tusitishane tena na hakuna lolote jipya ambalo sisi tunaweza kulifanya kwa sasa dhidi ya ugonjwa huu. Sisi tumekwisha ushinda ugonjwa huu muda mrefu sasa hakuna haja ya kutaja taja namba za kujitungia tungia tu kutisha watu na kuukuza ugonjwa upya.

kama mtu anataka chanjo basi akachanjwe na asietaka basi asitake.

sad.
Data, data, data
 
Hahahaa tumepokea hela za watu na hayo ndo masharti yao wanataka wananchi watiwe uoga na wachanjwe chanjo...

Saivi wameshirikiana na mbowe kumpa kesi ya ugaidi hili wananchi wasipinge wala kuhoji matamko yanatotolewa kuhusu Corona

Mbowe hajawahi kuwa Gaidi wala Mh.Samia hajawahi kuwa mtata.Hili linahitaji Akili sana kulielewa.Agenda ni Corona

Mbowe kala Hela,Mama kala hela.

Ukisikia mama anaupiga mwingi hapa ndo nimeamini....
 
Tanzania kama hujapata huwezi kujali....angalia waliopo kigoma huko sasa....ila ukiwa na mgonjwa hospitalini ndio utajua kuwa upo.
Mimi niliumwa mwaka jana wakati wanasherekea kuishinda corona, ilianza kiutani sikuamini kama itakuwa yenyewe, ilivyonibadilikia nilikuwa naona kabisa kifo hicho hapo😕
 
Hahahaa tumepokea hela za watu na hayo ndo masharti yao wanataka wananchi watiwe uoga na wachanjwe chanjo...

Saivi wameshirikiana na mbowe kumpa kesi ya ugaidi hili wananchi wasipinge wala kuhoji matamko yanatotolewa kuhusu Corona

Mbowe hajawahi kuwa Gaidi wala Mh.Samia hajawahi kuwa mtata.Hili linahitaji Akili sana kulielewa.Agenda ni Corona

Mbowe kala Hela,Mama kala hela.

Ukisikia mama anaupiga mwingi hapa ndo nimeamini....
Dah! hilo wazo nilikua nalo,,nahisi Tumepigwa propaganda tushasahau vitu vya msingi vinavyotuumiza kila siku kama miamala.....
 
Naona wewe ndiyo una hofu ndiyo maana unaongea vitu ambavyo havina sense kama kinjekitile wa burigi.
 
Hahahaa tumepokea hela za watu na hayo ndo masharti yao wanataka wananchi watiwe uoga na wachanjwe chanjo...

Saivi wameshirikiana na mbowe kumpa kesi ya ugaidi hili wananchi wasipinge wala kuhoji matamko yanatotolewa kuhusu Corona

Mbowe hajawahi kuwa Gaidi wala Mh.Samia hajawahi kuwa mtata.Hili linahitaji Akili sana kulielewa.Agenda ni Corona

Mbowe kala Hela,Mama kala hela.

Ukisikia mama anaupiga mwingi hapa ndo nimeamini....
Asee
 
Nchi hii tumekosa maono,tulitakiwa tuwe na maono ya taifa ili Kiongozi akija kuongoza asiongoze kwa mawazo yake binafsi bali afuate maono ya Nchi,Corona tulikuwa tumeshaishinda na hatukuchanjwa,hatukuwa na Lockdown,sasa zinaletwa tena chanjo zinaweza kutudhuru"- Josephat gwajima
 
Hakika
 
sijui kama heading iko vizuri au vp! Ila inashangaza sanaa kuona namna tunavyoulazimishia huu ugonjwa uendelee kuwepo au tunalazimishia kwamba umerudi upyaa!

jamani tumerudi nyuma sanaa kwenye hili. Ni aibu kubwa kuona namna tunavyolazimishia uwepo wa ugonjwa huu, yaani its so unnecessary. Imefikia point kama taifa tunatangaza tuna wagonjwa mia ngapi sijui katika watu milion 60! serius?

tuchukue tahadhari ila tusiupe cheo ugonjwa huu kama tunavyofanya sasa. Hofu ikirudi tatizo tunalikuza upya. Hofu ikirudi ugonjwa utarudi mara milion 1 na tutapata lock down ya u lazima.

hakuna haja ya haya yanayofanyika sasa, Corona tulikwisha ishinda kama taifa mwaka mmoja uliopita tusitishane tena na hakuna lolote jipya ambalo sisi tunaweza kulifanya kwa sasa dhidi ya ugonjwa huu. Sisi tumekwisha ushinda ugonjwa huu muda mrefu sasa hakuna haja ya kutaja taja namba za kujitungia tungia tu kutisha watu na kuukuza ugonjwa upya.

kama mtu anataka chanjo basi akachanjwe na asietaka basi asitake.

sad.
Huyo mliyekuwa mnamsifia na mbinu zake za kupambana na corona yeye ndio amekuwa wa kwanza kunyakuliwa.Mmekwisha ushinda huu ugonjwa kwa njia gani?,kuuletea ugonjwa ukauzu kama bwana wenu marehemu hakuondoi ukweli kama ugonjwa upo
 
Back
Top Bottom