NI kwa sababu ndoa zinadumu muda mfupi kuliko uchumbaSalaam wakuu, Naomba niende Kwenye mada.
Jamaa yangu kaishi na mchumba wake kwa miaka10 bila ndoa(2012-2022). Waliishi pamoja maisha mazuri japo vimgogoro vya hapa na pale vilikuepo.
Sasa tatizo limeanzia baada ya wawili hao kuamua kufunga pingu za maisha mnamo February mwaka huu. Ndoa imekuwa na sarakasi nyingi Jambo lililopelekea wawili hao kutengana na kila mtu kuishi maisha yake.
Stori yake imenikumbusha rafiki yangu mwingine aliyekutana na madhira kama hayo. Nimejiuliza naomba mnisaidie wakuu, ni kwanini uchumba huwa unaweza udumu muda mrefu kuliko ndoa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanasiasa wakati wa Kampeni huwa wanyenyekevu sana.
Tukishawapatia Kura zetu ndipo huanzisha Jeuri. Mara hamieni Burundi, Mara kama hukupata Mkopo wewe ni Mkenya, Mara baki na M*v yako nyumbani..
umenena sawia kabisa.....NDOA inamuunganiko na mambo ya kirohoShetani anapiga vita sana ndoa/familia. Mkiishi kwenye uzinzi aah anawaacha mjiachie kwa raha zenu. Ila mkifunga tu ndoa; tayari mmetangaza vita naye.
Shetani yupo kazini na kitu asichopenda ni ndoa yenye amani .. maombi pekee ndio siraha plus upendo na hekima.Salaam wakuu, Naomba niende Kwenye mada.
Jamaa yangu kaishi na mchumba wake kwa miaka10 bila ndoa(2012-2022). Waliishi pamoja maisha mazuri japo vimgogoro vya hapa na pale vilikuepo.
Sasa tatizo limeanzia baada ya wawili hao kuamua kufunga pingu za maisha mnamo February mwaka huu. Ndoa imekuwa na sarakasi nyingi Jambo lililopelekea wawili hao kutengana na kila mtu kuishi maisha yake.
Stori yake imenikumbusha rafiki yangu mwingine aliyekutana na madhira kama hayo. Nimejiuliza naomba mnisaidie wakuu, ni kwanini uchumba huwa unaweza udumu muda mrefu kuliko ndoa?
Ni kweli kabisa na maombi pekee ndo siraha ya ndoaShetani anapiga vita sana ndoa/familia. Mkiishi kwenye uzinzi aah anawaacha mjiachie kwa raha zenu. Ila mkifunga tu ndoa; tayari mmetangaza vita naye.
TrueShetani hana tatizo na couple zinazopendana ishu hataki ni watu kufunga ndoa lazima atie mkono wake mambo yaende combo kama unabisha
Hao navy kenzo wakioana tu utakuja kushuhwa uzi hapa mtashangaa watu wametengana
Ooohoooo!Kufunga NDOA wakati mnaiishi tayari ni kumkebehi Mungu!!
NDOA zilifungwa kea mabikira pekee na Kama bikra haipo Basi binti anauawa kwa uzinzi au anarudishwa kwao enzi hizo!!
Siku hizi NDOA zinafungwa na wazinzi watupu KWA KIGEZO wametubu!mzinzi au kijana alieipoteza bikra yake hapaswi kupongezwa kwa sherehe ya ndoa!!!
Bali waishi tu Hivyo Hivyo hata mahari hawapaswi kutoa au kupokea maana wameshachakaa!!
Ndoa hazidumu coz ni laana kutoka KWA MUNGU kwa wazinzi kufungishwa NDOA!!
Ndio màana hazidumu!!