Ni kwanini uchumba huwa unaweza kudumu muda mrefu kuliko ndoa?


Mungu angekuwa hivo wangebaki viumbe wengine tu sio binadamu
 
Mhh , mbona kuna watu wengi wameolewa bikra na ndoa zao zimekufa, na wengine walizaa kwanza na ndoa zimedumu hadi leo. Halafu haya mambo ya kumsingizia shetani tuyaache, tuwajibike kwenye ndoa zetu na si vinginevyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…