Ni kwanini Usalama wa Taifa wa Israel hujulikana tokea wakiwa wadogo, ila nchi zingine wale 'failures' ndiyo 'huajiriwa' huko?

Ni kwanini Usalama wa Taifa wa Israel hujulikana tokea wakiwa wadogo, ila nchi zingine wale 'failures' ndiyo 'huajiriwa' huko?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuna nchi Moja (nimeisahau kwa sasa) nimeambiwa recruiting yao kuingia huko ni mpaka uwe na 'Characters' zifuatazo:

1. Failure Academically
2. Ukiwa Msomi basi ujue Kujipendekeza
3. Uwe na God Fathers wengi huko
4. Uwe Mnafiki na Mfitini
5. Uwe Member wa Chama Dola
6. Ujue Kujiroga na Kuroga Wenzako
7. Uwe na Mapenzi ya Kuua kutoka Moyoni

Kama kuna nchi ambazo GENTAMYCINE nasifia mno 'recruiting' zao za Watendaji wa Usalama wa Taifa (Manjagu) duniani ni Tanzania, Israel, France, US, Rwanda, Cuba, Bulgaria na DPRK (North Korea) na pongezi nyingi sana kwao.
 
Kweli "nchi ya kusadikika" kuajiri hao watu ni full vificho na mbambamba nyingi yaani ugaigai mwingi na ndio maana wakiwa bar ni kutoa vitambulisho ili wale mademu bure , no ethics.
 
Moja Kati ya nyuzi Bora Sana kuwahi kuletwa JF. Big up Mkuu. Kwa Sasa huku kwenu Usalama wa Taifa hauna tofauti na kikundi cha Ngoma ya Msewe.
 
Hawa wa bongo hawana lolote ni umbwa kabisa , na ndio kama mkuu alivyosema Gentamycine kwamba hawaaaangalii hata IQ illimradi babaako alikua huko ama chawa tu basi, nchi ambayo haina dira wala mwelekeo ndio hata inteligency yao iko very poor sana. Huwezi kuwa na vilaza tupu eti ndio wako kwenye National Security, niambie ni genious gani bongo yuko huko
 
Huu Uzi Bila kumuweka Russia utakuwa hauna Maana.

Lakini Mkuu Mbona kama Umetupa jiwe Gizani? kuna nchi umeiorodhesha hapo lakini ndio nina wasiwasi unaisimanga inaanziwa na herufi .........!!!!!
 
Back
Top Bottom