imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Wadau tunaambiwa tutii sheria na sisi watumiaji wa barabara tunatii kweli kweli.
Tatizo nililoliona katika Mkoa wa Shinyanga ni kwamba alama na Ishara karibia zote zenye kuonyesha 50kph zimeng'olewa na Traffic Police wapo.
Cha kushangaza bado wanawakamata Madereva kwa Overspeeding je huu ni uungwana?
Mikoa mingine yote ina ishara kasoro Shinyanga.