Ulikamatwa au wanakamatwa!!! Kma vp achana naoWadau tunaambiwa tutii sheria na sisi watumiaji wa barabara tunatii kweli kweli...
Siyo shinyanga tu, maeneo kadhaa nimeona kile kibao cha round hakipo ila nguzo yake ipo!!Unapotoa vibao vya speed limit unawasababishia Madereva stress wasijue speed limit inaanzia wapi na kuishia wapi.
Ombi langu kwa RTO wa Mkoa wetu adhimu wa Shinyanga afuatilie hii kero.
Kibao cha round kina bati kubwa kuliko cha pembetatu!Unakuta Vibao vingine vipo sasa unajiuliza huo upepo mkali unalenga Vibao vya 50 kph
Mkuu siyo vya 50 tu, nimeobserve hata baadhi ya vibao vyenye majina ya sehemu havipo!!!Kwanini Wananchi waibe vibao vya 50kph pekee wakati vibao vingine vipo?
Hapo ndiyo mamlaka inatakiwa inyooshewe vidole kwanini havijabandikwa vingine..Vile vibao vinaonekana kama ni fiber kuliko bati... anyway kwanini visibandikwe vingine?