Wacha kudanganya wewe MATAGA wa LumumbaSio kila mtu mwenye fikra tofauti na zako (na za chama chako) ni CCM. Wengine hatuna hata chama!
Wacha kudanganya wewe MATAGA wa lumumba
SawaWewe ni walewale wenye kutumia hoja za nguvu badala ya nguvu za hoja!
Ya statesmenHivi hiyo hospital ni kwa ajili ya kina nani?
Iko wapi hiyo hospital
Ya Serikali au Private
Unamuuliza swali gumu - endelea kufahamu madhumuni ya uanzishwaji huduma hiyo kisha utagundua kwamba ni muhimu ikawepo DodomaMkuu baada ya viongozi kuhamia dodoma nayo wataihamisha au inabaki.
Kuna watu hawakukuelewa mara ya kwanza ulipoleta bandiko lako, lakini kwa sasa wanakiri wewe ni Kionambali wa JF.Sasa kwanini tu kwakuwa mmeamua Kutuficha Watanzania kuhusu Kulazwa Kwao hapo Mzena Hospital basi hata Wakifa ( Wakifariki ) msiendelee pia Kutuficha kwa Kutotujajia hiyo Hospitali na badala yake muendelee tu na Ratiba zenu za Maziko nyie nyie kama nyie pamoja na Wauguzi wa Mzena Hospital na wale Walinzi Wanoko wenye Maswali ya Kukomoa pale Getini Makumbusho? Tumeivumilia hii tabia tumechoka na badilikeni!
Ugonjwa ni siri ya mtu binafsi. Hilo sijakataa.
Lakini, unapogombea urais, unakubali kujivua haki zako nyingi sana za mtu binafsi, unakuwa "public figure".
Unapangiwa ratiba nyingi sana ambazo huzitaki, lakini ni sehemu ya kazi.
Unapangiwa sheria nyingi sana za maadili za kutimiza. Watu binafsi hawajazi fomu za kuorodhesha mali zao. Rais na viongozi wengine wa umma kama wabunge wanatakiwa kufanya hivyo. Hawatakiwi kusema "haya ni mambo yetu ya faragha".
Kama unapenda sana faragha zako zisiingiliwe na watu, usigombee uongozi wa umma.
Hapo mtu akitaka kujua afya yako wakati hujachaguliwa kuongoza kitu, hutumii kodi ya watu kuhudumiwa, kuwa na faragha zako itakuwa haki.
Ukishaomba kupigiwa kura na kulipwa kwa kodi ya umma, tayari ushajivua ubinafsi. You become a public person.
Waingereza wanasema "with great power, comes great responsibility". Wafaransa wanasema "Noblesse oblige". Kwenye Biblia kuna mfano Yesu aliwapa watu tofauti talanta, aliyepewa talanta zaidi alidaiwa zaidi. Sasa wewe unataka mtu apewe talanta zaidi ya wengine, halafu kwenye kudaiwa adaiwe sawa na wengine?
Haya si maneno ninayoandika mimi tu.
Soma katiba ya Tanzania utaona kuna mchakato maalum wa kuangalia afya ya rais na kuichunguza kama rais anaweza kufanya kazi, na kama hawezi nini kifanyike.
Jamani someni katiba kabla ya kuketa ubishi usio na msingi hapa JF.
Rais angekuwa na haki ya faragha ya ugonjwa wake kutojulikana, kusingekuwa na vifungu vya katiba vya kuongelea afya ya rais kuchunguzwa na akionekana hawezi kazi mchakato gani ufuatwe kumpa mtu mwingine kazi za rais.
Let's argue facts. Not just made up stories.
Fact.
Katiba ina mchakato maalum wa kuchunguza afya ya rais na ku declare kama rais anafaa kuendelea kuongoza ama la, hivyo, afya ya rais si jambo la faragha isiyoweza kuchunguzwa.
Huku InajengwaMkuu baada ya viongozi kuhamia dodoma nayo wataihamisha au inabaki.
Akhsante na Shukrani sana Ndugu yangu.Kuna watu hawakukuelewa mara ya kwanza ulipoleta bandiko lako, lakini kwa sasa wanakiri wewe ni Kionambali wa JF.
Hivi mwenye picha yake amewahi labda kuona hii ya huyu bwana?Ya statesmenView attachment 1730537
Gentamycine bhanaSasa kwanini tu kwakuwa mmeamua Kutuficha Watanzania kuhusu Kulazwa Kwao hapo Mzena Hospital basi hata Wakifa ( Wakifariki ) msiendelee pia Kutuficha kwa Kutotujajia hiyo Hospitali na badala yake muendelee tu na Ratiba zenu za Maziko nyie nyie kama nyie pamoja na Wauguzi wa Mzena Hospital na wale Walinzi Wanoko wenye Maswali ya Kukomoa pale Getini Makumbusho? Tumeivumilia hii tabia tumechoka na badilikeni!
Kwa nini huu uzi umeibuka muda huu
Nina furaha kwamba hoja yako wakati wote iko vile vile!!Waswahili walisema, mficha maradhi, mauti humfichua.