Kivipi mkuu, tupe picha ya complexity ya mzena huenda na sisi raia tukapata mshawasha wa kwenda kuosha macho hapo kama si kutibiwa kabisa maana kodi zetu hizo.Raia wanavyoiongelea Mzena utafikiri ni kama kazahanati aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi mkuu, tupe picha ya complexity ya mzena huenda na sisi raia tukapata mshawasha wa kwenda kuosha macho hapo kama si kutibiwa kabisa maana kodi zetu hizo.Raia wanavyoiongelea Mzena utafikiri ni kama kazahanati aisee
Mzena ipo kama mayo clinic ya UsKivipi mkuu, tupe picha ya complexity ya mzena huenda na sisi raia tukapata mshawasha wa kwenda kuosha macho hapo kama si kutibiwa kabisa maana kodi zetu hizo.
Dah! kungekuwepo angalau kapicha maana hii mayo clinic ndo nimeisoma leo hapa.Mzena ipo kama mayo clinic ya Us
Duh! rais mwema tena..Nataka nikafanyiwe check up ya kiafya hapo kama rais mwema. Inawezekana?
RaiaDuh! rais mwema tena..
Uzi ulianzishwa tarehe 2 Januari 2021 ukakatika tarehe 3 Januari 2021. Uzi ukaibuka tena tarehe 18 Machi 2021 hadi tarehe 20 Machi ukakatika. Umeibuka tena tarehe 14 Aprili 2023.WELL NOTED
Nakumbuka makamu alikuwa Tanga..na Sasa makamu alikuwa mwanzaMsikute mambo yashaaribika maana tuliambiwa kama mambo hayata haribika basi tukutane 2025 by Born Town
MkuuSasa kwanini tu kwakuwa mmeamua Kutuficha Watanzania kuhusu Kulazwa Kwao hapo Mzena Hospital basi hata Wakifa ( Wakifariki ) msiendelee pia Kutuficha kwa Kutotujajia hiyo Hospitali na badala yake muendelee tu na Ratiba zenu za Maziko nyie nyie kama nyie pamoja na Wauguzi wa Mzena Hospital na wale Walinzi Wanoko wenye Maswali ya Kukomoa pale Getini Makumbusho? Tumeivumilia hii tabia tumechoka na badilikeni!
First class citizensHivi hiyo hospital ni kwa ajili ya kina nani?
@yoga njoo tia neno hapa maana kigogo alishaunga juhudi hatupi habari za motomoto tenaNakumbuka makamu alikuwa Tanga..na Sasa makamu alikuwa mwanza
Wsnatuandaa kisaikolojiaUzi ulianzishwa tarehe 2 Januari 2021 ukakatika tarehe 3 Januari 2021. Uzi ukaibuka tena tarehe 18 Machi 2021 hadi tarehe 20 Machi ukakatika. Umeibuka tena tarehe 14 Aprili 2023.
1. Huu uzi ulianzishwa kwa mkakati gani hasa?
2. Nani aliuanzisha na kwa lengo gani?
3. Kuna kitu gani kinaandaliwa kutokea tena?
Kwanini JMK kama mstaafu asimame hadharani kutangaza kwa umma kwamba rais na serikali yake waombewe wakati kuna makamu wa rais na waziri mkuu?Wsnatuandaa kisaikolojia
Nimekusaidia kupigia mstari yasiyojulikanaKwanini JMK kama mstaafu asimame hadharani kutangaza kwa umma kwamba rais na serikali yake waombewe wakati kuna makamu wa rais na waziri mkuu?
JMK ndiye anaongoza nchi kwa sasa?
Aisee ndio maana uovu umekithiriNimekusaidia kupigia mstari yasiyojulikana