Ni kwanini Viongozi Serikalini wakilazwa Mzena Hospital huwa tunafichwa, ila wakifa tu tunaambiwa Walilazwa hapo Mzena Hospital?

Kivipi mkuu, tupe picha ya complexity ya mzena huenda na sisi raia tukapata mshawasha wa kwenda kuosha macho hapo kama si kutibiwa kabisa maana kodi zetu hizo.
Mzena ipo kama mayo clinic ya Us
 
WELL NOTED
Uzi ulianzishwa tarehe 2 Januari 2021 ukakatika tarehe 3 Januari 2021. Uzi ukaibuka tena tarehe 18 Machi 2021 hadi tarehe 20 Machi ukakatika. Umeibuka tena tarehe 14 Aprili 2023.
1. Huu uzi ulianzishwa kwa mkakati gani hasa?
2. Nani aliuanzisha na kwa lengo gani?
3. Kuna kitu gani kinaandaliwa kutokea tena?
 
Mkuu
Kuna brainwash kubwa wanafanyiwa watu wa makirikiri kiasi kwamba wanaamini kila action yao ni sahihi hata kama jambo hilo lina maumivu kwa taifa. Cha msingi neno MAELEKEZO TOKA JUU ndo inakuwa passkey
 
Wsnatuandaa kisaikolojia
 
Kwanini JMK kama mstaafu asimame hadharani kutangaza kwa umma kwamba rais na serikali yake waombewe wakati kuna makamu wa rais na waziri mkuu?

JMK ndiye anaongoza nchi kwa sasa?
Nimekusaidia kupigia mstari yasiyojulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…