Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mwalimu anayefanya hivyo atakuwa ni mjinga kama ww tu ...maana hata huu ulioandika hapa ni uongo mtupu.Walimu waajiriwa wengine hufika hatua ya kuwaponda walimu wa kujitolea mbele ya wanafunzi kwamba wao sio lolote ndo maana wanafunzi wanawadharau hata akitaka kumwadhibu mwanafunzi anamgomea.
kujitolea kwa angalau mwaka 1 baada ya kumaliza chuo siyo mbaya ila kujitolea zaidi ya mwaka1 ni ujinga aheri usingelisomaJapo sio shule zote ila shule nyingi hakuna mwalimu anayedhalauliwa na kunyanyasika kama mwalimu wa kujitolea sio na walimu hata wanafunzi pia baadhi ya wanafunzi wakijua mwalimu wa kujitolea huwa wanamdharau.
Tukianzia swala la malipo unakuta wazazi wanachanga buku buku kwa ajiri ya walimu wa kujitolea lakini lakini katika lile fungu mkuu wa shule,makamu wa shule, mkuu wa idara, katibu wa wazazi wanagawana zile hela alafu walimu wa kujitolea wanapewa elfu 30 au 20 kwa mwezi kama posho ya kazi.
Mwalimu wa kujitolea akiwa na program zake za kufundisha masomo ya ziada walimu waajiriwa wanamwingilia na kucuruga program zake Kisha wao kuichukua hiyo program.
Walimu waajiriwa wengine hufika hatua ya kuwaponda walimu wa kujitolea mbele ya wanafunzi kwamba wao sio lolote ndo maana wanafunzi wanawadharau hata akitaka kumwadhibu mwanafunzi anamgomea.
Haya mambo imefika hatua kumekuwa na makundi ya walimu wanajitolea na walimu waajiriwa Hawa waajiriwa wanajiona super classic kuliko wanajitolea.
Ni mengi ya kusema acha niishie hapa.
Sio walimu tu hata kada ya Afya wanaojitolea wanadharaulika sana...nadhani ni kasumba ya mwanadamu kujiona bora.
ila kama unapenda kufundisha bado una nafasi ya kutafuta leseni ya ualimu sio lazima uwe umesomea ualimu hata.Mimi nafanya hio kazi walimu wananijali na wananitegemea japo wazazi wanalipa kiugumu lakini walimu wale wamenilea kama mtoto wao "sababu ni mdogo kwao" na mara zote kazi nyingi na maswali Mengi wanayoshindwa nawasaidia au mada wanazoshindwa kufundisha vizuri naclear na mwaka Jana shule imepandisha ufaulu wanatamani hata waniweke kwenye system ila inashindikana sababu sjasomea ualimu inategemea na kituo na hao walimu jishushe na ishi maisha Yako kumbuka upo kwenye kipindi Cha transition kudharauliwa ni kawaida tu katika utafutaji pambana we mkubwa we ni binadamu
Hawajielewimpwayungu village Sema Neno
Naamini Unavyojitahidi Kutoa Nondo Kwenye Thread Zako Wataanza KujielewaHawajielewi
Hapana nilikua Sina Cha kufanya [emoji16] naendelea na masomo mwaka huu ualimu kazi ya stress sanaila kama unapenda kufundisha bado una nafasi ya kutafuta leseni ya ualimu sio lazima uwe umesomea ualimu hata.
Leseni hata Kama hujasomea? Hi imekaajeila kama unapenda kufundisha bado una nafasi ya kutafuta leseni ya ualimu sio lazima uwe umesomea ualimu hata.
Ndio Mkuu, unakuwa na profession yako tofauti na unakuwa Mwalimu pia.Leseni hata Kama hujasomea? Hi imekaaje
Dah changamoto ila utakuta iyo laki kwake kubwa..Kuna mmoja anajitolea anaenda Mwaka wa 4 huu analipwa laki per month.Si Bora aangalie inshu zingine tu.Unajitolea mpaka mvi zinatoka kichwani si upumbavu huu.