Ni kwanini walimu wa kujitolea wananyanyaswa mno na walimu wajiriwa hasa kwenye shule za serikali?

Walimu waajiriwa wengine hufika hatua ya kuwaponda walimu wa kujitolea mbele ya wanafunzi kwamba wao sio lolote ndo maana wanafunzi wanawadharau hata akitaka kumwadhibu mwanafunzi anamgomea.
Huyo mwalimu anayefanya hivyo atakuwa ni mjinga kama ww tu ...maana hata huu ulioandika hapa ni uongo mtupu.
 
kujitolea kwa angalau mwaka 1 baada ya kumaliza chuo siyo mbaya ila kujitolea zaidi ya mwaka1 ni ujinga aheri usingelisoma
 
Sijui akili za watu siku hizi zimekuwaje, ila nadhani ni "Trauma" kwa sababu ya ugumu wa maisha. Inawezekanaje una 'hukumu' moja kwamba wanateswa?

Huoni kama wewe ndio wateseka? Si kila 'Intern' hata kwa (Walimu) anateswa, mimi nimejitolea, miaka 2 consecutively na sikuteswa, kwanini una 'generalize' tabia ya waajiri wawili/watatu kuwa tabia ya wote?

Kuna watu wanafundisha kwa kujitolea kama Wameajiriwa, issue ni kwamba, kwenye kada ya Elimu unatoa service, you don't sell it, hatupo kwenye nchi inayo uza ujuzi ndio mana kuna haya masihara ya "Elimu Bure" kwa sababu tumezoea vya bure "Of course" ndio mana kama hali za Walimu waajiriwa ni mbaya? Vipi kuhusu hao Wajaofanya internship?

Swali lako linge specify taarifa Maalumu.
 
ila kama unapenda kufundisha bado una nafasi ya kutafuta leseni ya ualimu sio lazima uwe umesomea ualimu hata.
 
Hadi wanafunzi wanakudharau mkuu? Wew hyo n haki yako,ukiona dogo anadharau mkande,ticha akikudharau kula buyu had kukuongelesha wawe wanajipanha
Ukijichekesha sana watakuzoea
 
Kuna mmoja anajitolea anaenda Mwaka wa 4 huu analipwa laki per month.Si Bora aangalie inshu zingine tu.Unajitolea mpaka mvi zinatoka kichwani si upumbavu huu.
 
Kuna mmoja anajitolea anaenda Mwaka wa 4 huu analipwa laki per month.Si Bora aangalie inshu zingine tu.Unajitolea mpaka mvi zinatoka kichwani si upumbavu huu.
Dah changamoto ila utakuta iyo laki kwake kubwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…