1. Hawazeeki upesi
2. Huwa ni Wakakamavu
3. Hawaugui hovyo
4. Huishi muda mrefu
5. Upumuaji wao (siyo Kujamba) huwa mzuri
6. Miili yao huwa na Mvuto
7. Uwezo wa Akili huongezeka
Nayasubiri kwa bashasha zote Majibu yenu ili basi nami GENTAMYCINE kuanzia Kesho nianze Ratiba ya kutafuta kwa Kutembea kwa Umbali mrefu ili niwe na hizi Faida Saba (7) tajwa hapa juu.
Siri imejificha ktk mzunguko wa damu. Damu inapeleka mahitaji muhimu na kutoa taka ktk kila sehemu ya mwili, ndio inayosimamia msawazo wa mwili.
Kila damu inapo zunguka sawa sawa, basi mwili una regulate mambo yake yenyewe ikiwepo kupata taarifa kwa wakat,kuchochoea kuupa mwili energy, kuzalisha hormone kwa ajili ya mahitaji ya msingi,ikiwemo hormon za kupambana na stress na kuondoa hormone za stress.
Stress ina escape kupitia body fluid, especially kupitia jasho. Sress hormones zina zeesha ,kupunguza uwezo kutazama mambo kwa upana,inazuia matendo mema ya nchi, so if unataka kupamban na stress move that body.
Why mazoez na kutembea? Chinese ancient knowledge, hata sehemu zingine za asia, tafit za Wataalamu wanasem mzunguko wa damu haufanywi na moyo pekee, Baki na calf muscle yaani kigimbi. So ni kama binadamu na mioyo miwili.
Kutembea na mazoez, ina ipa ubora na utimamu moyo ,mapafu na Calf muscle. Concept ya Atrophy, ambapo ktu ukikitumia sana kinakuwa na nguvu na bora zaidi, usipotumia kinakuwa dhaifu. Utaona matokeo ya mazoez na wasio fanya.
Mazoez na kutembea Sio jambo la mwili tu, ni pamoja na mind. Inajenga resilience, stamina ya akili na hisia. Mfano. Mtu anayetembea km10 , mind yake inatazam umbali wote, kila njia ya kupita na kusema tutafika tu hata kama baada ya masaa mawili, ina mpa utulivu wa kutokuwa na pupa na kutunza lengo. Ni sifa njema ya uongoz hii na inapunguza panic hata katk mambo ya kawaida. Panic ni moja ya vitu vinavyo chochea uachiliwaj wa hormone za fight au flight, stress hormones n.k nadhan madhara yake tumesha yasem kwa uchache hapo juu
Fanya mazoez, tembea, ruka ruka, mwili haujaumbwa kwa ajili ya kufungiwa ndani. Mazoezi Ni kwa ajili ya mind kwa asilimia nyingi. Kuna muda stamala ni uwezo wa fikra tu kuliko mwili,mwili unafata fikra zikiwa strong. Ruhusu kuwa bored, kuboreka, akili yako ita wonder sanaa na kusafisha dopamine overload.
Mind is everything.