Hihihi ufukunyuku hauto wasaidia nyinyi kina hawa hahahahahahaHahahaja na kwa habari tuu, ratiba zote tunazijua. Sijui munatokea wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jajahahahaha si munajikutaga wajanja. Eti taifa stars na madrid wanacheza na mtu anakubali.Hihihi ufukunyuku hauto wasaidia nyinyi kina hawa hahahahahaha
Miye sihitaji tena efforts. Napenda kweli..since when i was 10 yrs mpk leo na uzee wangu huu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahahahaha
Kwahiyo mimi nikimpenda ronaldo na kumsifia mbele yako utaumiaaaa... hahahah aisee. Mbona huu wivu umepitiliza. Sasa si mzuri. And yes, tumerudi. Ligi imeanza[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaha u habe made my day. Sindo hapo? Wanajionaga wao tuu. Hawaoni km na siye tuna mioyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wivu hatuna ila roho zinatuuma, chukulia MFANO wewe ni flat screen alafu kila mara ukiwa na mumeo mnatazama runinga akitokea mwanamke mwenye wowowo anammwagia sifa lukuki, wewe hutaumia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka ujue zaidi et jamaanMiye sihitaji tena efforts. Napenda kweli..since when i was 10 yrs mpk leo na uzee wangu huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahahahahahahahaha na wala sijawahi waza na sipendi bettingNyie ndio hatutaki mbet maana mnaweza kuuza masufuria yote
Betting ni biashara
Sent using Jamii Forums mobile app