miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
- Thread starter
- #61
Hahahaha miye winga ndugu na at times deffensive midle. Hahahahkudadadeki...hapa nimepata mke. ebwana mie sio mpenzi sana wa matimu. nilikuwa mpenzi wa italy lakini baada ya lile goli la trezeque euro 2000 niliachaga ushabiki. sasa mie ni nafuatilia sana kazi za makocha ....ni mpenzi sana wa makocha wakitaliano maximilliona allegri, gian piero gasperini kocha wa atlanta na the great Sacchi.
wewe ulikuwa unapiga position gani huko shule? mie nilikuwa fundi mwenyewe namba 8 hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app