Ni kwanini wanaume munapenda sana kutu-discourage wanawake tupendao football?

Ni kwanini wanaume munapenda sana kutu-discourage wanawake tupendao football?

kudadadeki...hapa nimepata mke. ebwana mie sio mpenzi sana wa matimu. nilikuwa mpenzi wa italy lakini baada ya lile goli la trezeque euro 2000 niliachaga ushabiki. sasa mie ni nafuatilia sana kazi za makocha ....ni mpenzi sana wa makocha wakitaliano maximilliona allegri, gian piero gasperini kocha wa atlanta na the great Sacchi.

wewe ulikuwa unapiga position gani huko shule? mie nilikuwa fundi mwenyewe namba 8 hahahaha
Hahahaha miye winga ndugu na at times deffensive midle. Hahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha miye winga ndugu na at times deffensive midle. Hahahah

Sent using Jamii Forums mobile app

mbona umenitisha sasa ...winger tena kwa hiyo wewe mbio unazo hatari sasa hiyo mechi ya six by six tutakuwa twafukuzana tena hahahaha. defensive midfielder...kha kweli wewe mpenzi mpaka terminologies zote wazijua, ngoja nikupigie debe upwe twiga stars ukawanoe warembo.
 
Hahajaja miye huko sipo tena. Nina maisha aisee. Na nisingecheza. Hata ingekuaje. Ingekua tu kama hobby zingine. Nina maisha nje ya soka
mbona umenitisha sasa ...winger tena kwa hiyo wewe mbio unazo hatari sasa hiyo mechi ya six by six tutakuwa twafukuzana tena hahahaha. defensive midfielder...kha kweli wewe mpenzi mpaka terminologies zote wazijua, ngoja nikupigie debe upwe twiga stars ukawanoe warembo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchambuzi sio mbaya.

Usiwe deep sana best.

Yaani hata nikikuuliza kuhusu Mason Greenwood, James, Tahit Chong, Column Griblin, DJ Bufonge wote unawajua kwa kina [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha sawa mzee baba. Hatutakua deep

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom