miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
- Thread starter
- #101
noted, huwa sigombani. uwe na jioni njemaKwenda zako, usinipanfie cha kusema, sipangiwi kama magufuri, eboo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
noted, huwa sigombani. uwe na jioni njemaKwenda zako, usinipanfie cha kusema, sipangiwi kama magufuri, eboo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitahidi.mama...maana nilazima wajue..hahaahahaah, inahitaji energy ila tutajitahidi
Manchester United (Red Devils) | Special Thread - JamiiForumsnoted, huwa sigombani. uwe na jioni njema
Hahahahahahahaha hapo nimekuelewa vyemaJitahidi.mama...maana nilazima wajue..
Mimi siku yanga au.liverpool ikishinda basi nakuambia iyo siku ni fulu kupewa mibebisho isokua ya nchi ya hii.
Sasa niambia, **** siku liver au yanga kshindwa???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa esabu mibebisho nayopewa.
Acha kabisaa kwakweli rahaa.
Acha kabisaa kwakweli rahaa.
Mi nimshabiki wa simba. Ila kwaajili yake. Huwa naomba Yanga iendelee kushinda tu[emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] acha kabisa !! And vile alivo uuuhhhhh Huwa napenda kumuona anacheka tuuuu na yanga ishinde
Acha basi kuuza siri za jeshi mkuuJajahahahaha si munajikutaga wajanja. Eti taifa stars na madrid wanacheza na mtu anakubali.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mashabiki wa Mashetani wekundu naona sasa Mzungu Mmasai amewarudishia furaha yenu.
Tatizo lenu hamkawii kuwasifia kimahaba wachezaji mbele yetu, mara utasikia "Jamani huyu kaka (Ronaldo) ana mwili mtamu" wakati wewe una kifriji cha viporo cha haja.
Endeleeni tu na Netball kwakweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenihamasisha na para ya mwishoYaani huwa wanaume wanapenda tutuhukumu sana kwa nyanja zifuatazo:
1: Wanaamini hatujui mpira. Yes, ni kweli hatujui sana football kama nyie lakini tuna mapenzi nao pia. Kwanini msitusaidie? Lakini pia wapo pia wanawakewanaoujua zaidi yenu[emoji23][emoji23] hivyo msitunyanyase saana.
2: munaamini kwamba tumeharibikiwa kwa kuwa tunapenda mpira. Yaan munaamini sisi tunastahili kupenda netball tu. Nani anataka kurusharusha manyonyo?[emoji23][emoji23][emoji23] mimi kama mimi sina mapenzi hata chembe na netball. Ila naturally napenda mpira wa miguu toka nina miaka 10. Na zaidi tukiwa primary kulikua na somo kabisa la sports na tulikua tunacheza. Darasani kabisa tunafundishwa na uwanjani wote tunacheza. R.i.p mwalimu wetu wa football Mr. Gastho moshi. Kwahiyo wote tukubaliane tuko wote hapohapo kwa football.
3: wengi wa wanaume wanaamini kwamba sisi tunalazimisha kupenda mpira ili tuweze wacontrol wanaume wetu maybe wasiweze tucheat maana ratiba zote tunazo na apps zimejaa za mpira kwenye masimu yetu[emoji23][emoji23][emoji23] yes, wapo ambao wanafanya hivyo kutetea ndoa zao maana unashangaa siku unaambiwa leo anacheza real madrid ama borrussia dortmund na taifa stars na unakubali hahahahaa kwahiyo ni faida kwetu pia.
Nina kisa kimoja kila nikikumbuka huwa nacheka sana[emoji23][emoji23] kuna siku manchester united ilikua inacheza nadhan na chelsea a while back, sasa niko na ex nikamwomba aniangalizie matokeo livescore, hahahaha nilichenchiwaaa. Nikaambiwa ndo maana mm sipendagi mademu wanaopenda mpira. Hebu ona sasa tuko na mambo yetu unaniletea mambo ya mpira saa hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki ya mungu hamuendi mbinguni. Mtu alikua turned off on the spot. Jamani tueleweni na sisi pia tuna haki ya kupenda football kama nyie.
Salam zangu kwa mashabiki wote wa manchester united na dar young africans.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Great my dia. May almight bless u with that. Mwanamke wako akitabasamu nawe baraka humiminika zaidi[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] acha kabisa !! And vile alivo uuuhhhhh Huwa napenda kumuona anacheka tuuuu na yanga ishinde
Acha basi kuuza siri za jeshi mkuu
Hahahaha hiyo ya salam kwa fans wa united na yanga ama hiyo ya kisa?
Wanawake wapenda mpira wako vizuri upstairs. Wapo so free and they know what they want.
Though, they can be stubborn.
Can be...
Hahahahq...Can be...
Not necessarily!
Hopefully, we si mmoja wao ma stubborn teh teh teh
Hahahaha hata usijeeeKwa kuwa unashabikia Manchester United, The Red Devils, watoto wa Old Traford..nakuja pm fasta tuyajenge.