Ni kwanini wanaume munapenda sana kutu-discourage wanawake tupendao football?

Ni kwanini wanaume munapenda sana kutu-discourage wanawake tupendao football?

hahaahahaah, inahitaji energy ila tutajitahidi
Jitahidi.mama...maana nilazima wajue..

Mimi siku yanga au.liverpool ikishinda basi nakuambia iyo siku ni fulu kupewa mibebisho isokua ya nchi ya hii.

Sasa niambia, **** siku liver au yanga kshindwa???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa esabu mibebisho nayopewa.
 
Jitahidi.mama...maana nilazima wajue..

Mimi siku yanga au.liverpool ikishinda basi nakuambia iyo siku ni fulu kupewa mibebisho isokua ya nchi ya hii.

Sasa niambia, **** siku liver au yanga kshindwa???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa esabu mibebisho nayopewa.
Hahahahahahahaha hapo nimekuelewa vyema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mashabiki wa Mashetani wekundu naona sasa Mzungu Mmasai amewarudishia furaha yenu.

Tatizo lenu hamkawii kuwasifia kimahaba wachezaji mbele yetu, mara utasikia "Jamani huyu kaka (Ronaldo) ana mwili mtamu" wakati wewe una kifriji cha viporo cha haja.
Endeleeni tu na Netball kwakweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani huwa wanaume wanapenda tutuhukumu sana kwa nyanja zifuatazo:

1: Wanaamini hatujui mpira. Yes, ni kweli hatujui sana football kama nyie lakini tuna mapenzi nao pia. Kwanini msitusaidie? Lakini pia wapo pia wanawakewanaoujua zaidi yenu[emoji23][emoji23] hivyo msitunyanyase saana.

2: munaamini kwamba tumeharibikiwa kwa kuwa tunapenda mpira. Yaan munaamini sisi tunastahili kupenda netball tu. Nani anataka kurusharusha manyonyo?[emoji23][emoji23][emoji23] mimi kama mimi sina mapenzi hata chembe na netball. Ila naturally napenda mpira wa miguu toka nina miaka 10. Na zaidi tukiwa primary kulikua na somo kabisa la sports na tulikua tunacheza. Darasani kabisa tunafundishwa na uwanjani wote tunacheza. R.i.p mwalimu wetu wa football Mr. Gastho moshi. Kwahiyo wote tukubaliane tuko wote hapohapo kwa football.

3: wengi wa wanaume wanaamini kwamba sisi tunalazimisha kupenda mpira ili tuweze wacontrol wanaume wetu maybe wasiweze tucheat maana ratiba zote tunazo na apps zimejaa za mpira kwenye masimu yetu[emoji23][emoji23][emoji23] yes, wapo ambao wanafanya hivyo kutetea ndoa zao maana unashangaa siku unaambiwa leo anacheza real madrid ama borrussia dortmund na taifa stars na unakubali hahahahaa kwahiyo ni faida kwetu pia.

Nina kisa kimoja kila nikikumbuka huwa nacheka sana[emoji23][emoji23] kuna siku manchester united ilikua inacheza nadhan na chelsea a while back, sasa niko na ex nikamwomba aniangalizie matokeo livescore, hahahaha nilichenchiwaaa. Nikaambiwa ndo maana mm sipendagi mademu wanaopenda mpira. Hebu ona sasa tuko na mambo yetu unaniletea mambo ya mpira saa hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki ya mungu hamuendi mbinguni. Mtu alikua turned off on the spot. Jamani tueleweni na sisi pia tuna haki ya kupenda football kama nyie.

Salam zangu kwa mashabiki wote wa manchester united na dar young africans.

Asanteni


Sent using Jamii Forums mobile app
Umenihamasisha na para ya mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wapenda mpira wako vizuri upstairs. Wapo so free and they know what they want.
Though, they can be stubborn.
 
Kwa kuwa unashabikia Manchester United, The Red Devils, watoto wa Old Traford..nakuja pm fasta tuyajenge.
 
Back
Top Bottom