Ni kwanini Wanaume wa Dsm wanapenda series za Korea sana?

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
28,916
Reaction score
40,479
Huwa nikiwa nje ya Dsm sio rahisi kusikia watu hasa wanaume wenzangu wakihadithiana habari ya series hasa za Kikorea

Sana sana ni Movies tena zile za kihenga za enzi za akina Dolph lundgreen, Michael Dudickof, Rambo na wengine.

Sijui ni hobby au ubusy sana kwamba wa huku kwetu hawafuatilii hizo series.
 
Almanusura niwe mchangiaji wa kwanza dah!
 
Wanaume wa dar wakiangalia movie scene za kutisha wanafumba uso na viganja vyao vya mikono wengine hutoa sauti "Aaawww, oooh my gosh...!!! I can't watch this, it's so scary"

Mwaka Jana nilijikuta tuu nimeingia huko kweny kumbi ya cinema kwa influence ya wenyeji wangu wa dar nikakutana na huo ufala tangia siku hiyo nimejiapiza kutoenda tena sehemu za kifedhuli hizi.
 
Hahaha...eti wanafumba macho kwa viganja vyao

Labda hao walikuwa ni watoto bado mkuu.
 
Mkimaliza wa dar mtahamia wa morogoro, hii dhambi itawatafuna. Najaribu kuwa mjukuu wa taifa.
 
hii ni moja ya thread za kijinga kabisa hata sijui umefikiria nini

hivi kuangalia series kuna ditermine uanaume,nakuvua nyota moja

Nakwenda_Zimbabwe
 
hii ni moja ya thread za kijinga kabisa hata sijui umefikiria nini

hivi kuangalia series kuna ditermine uanaume,nakuvua nyota moja

Nakwenda_Zimbabwe
Ditermine [emoji117] Determine

Kwani ni wapi nimesema inadetermine uanaume?

Mbona povu hivyo?
 
Ditermine [emoji117] Determine

Kwani ni wapi nimesema inadetermine uanaume?

Mbona povu hivyo?
asante kwa masahihisho

ulipoanza tu wanaume wa dar ,tayari umetofautisha na wa mikoa mingine kwamba huko wanaangalia movie za kibabe ila wa dar tu ndo wana deal na korea logic yako nahisi ililenga hivi,but kama sivyo sawa

Nakwenda_Zimbabwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…