Ni kwanini Wanaume wa Dsm wanapenda series za Korea sana?

Ni kwanini Wanaume wa Dsm wanapenda series za Korea sana?

Unajua life style ya mega city kama dsm ni tofauti sana na mkoani. Maisha ya dsm yanaenda kasi mno kuliko huko mikoani ndo maana vitu kama hivi unashangaa. Pia dsm ina mwingiliano wa watu wengi wenye culture tofauti tofauti. Ila mkuu kama unaona ma men wa dsm wanakukera kaa huko huko mkoa usije mjini
 
Wanawake Je?? Asikwambie mtu Season za kikorea ni tamu. Nina dada yangu siishi nae ila nayeye ni mdau mkubwa wa hiyo kitu basi mi nikiona Season nzuri namwambia aitafute yeye pia. Ole wake ajitie mara Ooh nimeikosa sijui nini Duh yani naboreka natamani sijui nifanyej manake sio kwa tamu ule..
 
Acha dharau kenge ww

Unafikiri hizo bikra zilizoisha zilitolewa kwa kuendesha baskeli..!!

Siku nyingine uwe na adabu apige penati mwingine kwa kutingisha tako utupakazie wote
Acha povu mpaka poda wewe..hivi unajua kiasi gani cha watu(wanawake) wanao ingia dar kwa siku..achilia mbali kwa mwaka..unadhani huko walikua wanafanyweje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Wanaume wa dar wakiangalia movie scene za kutisha wanafumba uso na viganja vyao vya mikono wengine hutoa sauti "Aaawww, oooh my gosh...!!! I can't watch this, it's so scary"

Mwaka Jana nilijikuta tuu nimeingia huko kweny kumbi ya cinema kwa influence ya wenyeji wangu wa dar nikakutana na huo ufala tangia siku hiyo nimejiapiza kutoenda tena sehemu za kifedhuli hizi.
hivi kweli uangalie movie alafu usiwe na mdadi/mzuka ,basi wewe ni robot

Nakwenda_Zimbabwe
 
Kwa akili zako finyu unadhani mademu waliopo dsm waote wamezaliwa na kukulia hapo..wengi ni wahamiaji..tulia upake poda acha kulialia mtoto wa kiume..

Sent using Jamii Forums mobile app
Cheki ulivyo zwazwa huelewi unaandika nini
Vigezo vilivyozingatiwa katika utafiti unavijua au una porojo tuu
Ndio maana mkapa anawaita malofa na wapumbavu kila siku watu wa shamba maana hamjui mnaongea nini
 
Kwa akili zako finyu unadhani mademu waliopo dsm waote wamezaliwa na kukulia hapo..wengi ni wahamiaji..tulia upake poda acha kulialia mtoto wa kiume..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo fikra zao ni finyu
Ndo maana wanaongozwa na bashite toka mkoani au unamaanishaje mkuu![emoji23][emoji23]
 
Baadhi ya watu wa mkoani nahisi mna wivu wa kike..

Yani watu wa dar wasifanye chchote kile lazima mseme. Huu ni uanaume kweli?

Dah... Paka muvi mnataka kutupangina.? Kama sio tabia za kike ni nini
 
Back
Top Bottom