Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wenye wanawake wengine

Mwanamke wa hivi ni mgonjwa wa akili
 
Ni saikolojia issues, imeelezewa sana katika vitabu vya mapenzi wakisema alhpa man,

Binadamu tumezaliwa kupambana na mazimgira,

Mwanamke anapenda kashi kashi, ndio maana ile mijitu inajitia kunyenyekea wake zao, mitiifu, inalia katika sala badala ya mwanamke kulia, tunaisaidia sana kudumisha ndo zao huku nje
 
Una mwanamke umemnunulia simu kali,nguo za kutosha,na mambo mengine.

Mwanamke wa pembeni Anajua huyu mwanaume ana hela na ni mtoaji,ngoja nikaombe ajira na mimi nilipwe kama yule mwanamke mwingine.


Kampuni haijawahi kuonekana ikiwa na wafanyakazi wakichakarika,wenye hela,unaondaje kuomba kazi?
 
Fundi tv,simu,radio,,garage nk , lazima awe na makorokoro ofisini kwake ili kumuaminisha mteja weledi wa kazi yake.,
Haiwezekani uende kwa fundi usikute hata simu mbovu,au tv mbovu,gari bovu yote ni ktk kumuaminisha mteja weledi wa kazi yake.

wanawake wengi wanapenda mwanamume mjuzi wa mapenzi /mwenye pesa,,
Ndy sababu ya kupenda wanaume wenye mahusiano mengi.anajiona yupo salama zaidi kuliko kudate na mwanaume mlokole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…