Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ndio mkuu na niwachache sana.Mwaminifu hua anaonekana tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuu na niwachache sana.Mwaminifu hua anaonekana tu
Chanzo = Niamini mimi hata kama ni mwongo.Chanzo cha utafiti kinahitajika hapa.
Mwanamke wa hivi ni mgonjwa wa akiliHili linawezekana kuonekana suala la ajabu ila ndyo uhalisia.Mwanaume mwenye mwanamke au wanawake pembeni hupendwa Sana.
Natolea Baadhi ya mifano
1 Ukiwa huna mpenzi kama mwanaume alafu ukamtaka mwanamke.Akikubali kuwa na mahusiano na wewe lakini akagundua huna mzunguko mwingi wa wanawake basi upendo unapungua.
2 Ndoa za wanaocheat zinadumu kuliko wanaume ambao hawacheat.Utakuta mwanamke anasema hapendi michepuko lakini mume wake akipoa Sana BIla kuwa na kashikashi za michepuko utakuta ghafla kapigwa chini.
3 Wanawake wengi ambao hawajaolewa kwanini wanapenda wanaume ambao wapo kwenye ndoa zao??Wakati Kuna mwanaume mwaminifu hana ndoa na anakataliwa Kila siku.
4 Ukiwa unachat na mwanamke usiku akakuuliza unachat na nani zaidi yangu??
Ukimjibu nachat na mwanamke Fulani pia Kuna uwezekano mkubwa wa maongezi kudumu.
Ukimjibu nachat na wewe tu basi hamasa yake inashuka na ndani ya muda mfupi maongezi hata kama yalikuwa mazuri vipi basi yataisha.
KAMA UNABISHA JARIBU.
And they are heartbreakers mostlyBad boys are sweet and addictive......
Ukitaka kubrekiwa utabrekiwa, jitahidi tu usiwe too good....😹😹😹 Sitafundisha kila kituAnd they are heartbreakers mostly
cha wengi kitamuUmoja ni nguvu
Sharing is caring JoAise mie nitakua wa ajabu
Sipendi kabisa mwanaume wangu awe na mwingine zaidi ya mimi
Habari za kushea dudu sio poa jamani
Sasa huo ndo ukubwa....Siku hizi nimekuwa mvivu sana ku comment kwenye mada za mapenzi kama hizi sijui kwanini?
Fundi tv,simu,radio,,garage nk , lazima awe na makorokoro ofisini kwake ili kumuaminisha mteja weledi wa kazi yake.,Hili linawezekana kuonekana suala la ajabu ila ndyo uhalisia.Mwanaume mwenye mwanamke au wanawake pembeni hupendwa Sana.