Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Kwahiyo sisi ndio wagonjwa wa akili😹
What a perfect combo....🥰🥰🥰Hi ni toxic relationship a bitch vs playboy
Hata mke wa mtu anapendwa akiwa kwa mume wake...akiachwa tu mchepuko nao unasepa.
Na kuanza kusema wanaume wote Ni mmbwa kumbe wanayatakaga wenyeweHizo ndio tabia za mabinti wakitanzania wakisha choka sasa ndio wanaanza kuwatafuta wanaume wenye kujiheshimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aise mie nitakua wa ajabu
Sipendi kabisa mwanaume wangu awe na mwingine zaidi ya mimi
Habari za kushea dudu sio poa jamani
Hakuna mwanamke anayependa hiko wala atayesema anapenda ila your inner psychology ndio inapenda hiko na ngumu hata wewe mwenyewe kujua kuwa unapenda hiko.Aise mie nitakua wa ajabu
Sipendi kabisa mwanaume wangu awe na mwingine zaidi ya mimi
Habari za kushea dudu sio poa jamani
Nakaziaa.Bad boys are sweet and addictive......
Wataka dudu moja tu mrembo?Aise mie nitakua wa ajabu
Sipendi kabisa mwanaume wangu awe na mwingine zaidi ya mimi
Habari za kushea dudu sio poa jamani
una hoja ,usikilizwe.Nadhani ile ya kusema "hivi hawa wanampendea nini?" na mimi ngoja niingie nione wanachompendea ..
Ila wengine hatuna hizo bahati ...
Kuna ukwel kias flan 60% au zaidHuo utafiti umeufanyia wapi? Sampling size ilikua kiasi gani? Au nimaono yako binafsi?
Aise mie nitakua wa ajabu
Sipendi kabisa mwanaume wangu awe na mwingine zaidi ya mimi
Habari za kushea dudu sio poa jamani
ukitaka wako peke yako itakubid umuumbe JoanahAise mie nitakua wa ajabu
Sipendi kabisa mwanaume wangu awe na mwingine zaidi ya mimi
Habari za kushea dudu sio poa jamani