Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wenye wanawake wengine

Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wenye wanawake wengine

Aise mie nitakua wa ajabu
Sipendi kabisa mwanaume wangu awe na mwingine zaidi ya mimi

Habari za kushea dudu sio poa jamani
Hakuna mwanamke anayependa hiko wala atayesema anapenda ila your inner psychology ndio inapenda hiko na ngumu hata wewe mwenyewe kujua kuwa unapenda hiko.

Hata hao anaowazungumzi mtoa mada wakiulizwa watasema kama wewe
 
Hio ni nature ya mapenzi na maisha kwa ujumla....DISRUPTION, Mapenzi ni DISRUPTIVE in nature na mwanamke ni DISRUPTIVE AGENT.

Mapenzi loujumla hayana asili ya kutulia (Settle) na mwanamke ndio wakala siku wanawake wakitulia you kuwa na uwanamke kweli kweli Mapenzi yatakuwa pepo ya Dunia hii.

Ukiwa mtu wa kutulia (Good man) maisha yanakuchukia mapenI yatakuburuza mpaka ukome ila kwa yule ambae akili yake ijatulia hayaheshimu mapenzi Dunia I ampenda suala la mahusiano kwake linakuwa rahisi na hawa DISRUPTIVE AGENT watampenda maana anakuwa katika njia yao.

Hii inatokona kwwnye kiini cha mafundisho ya Dini kwamba Mungu anawapa majaribu zaidi wale watulivu na wenye ultimate ukiwa mbawala hupati sana changamoto kupata mademu ni kugusa tu hii imewekwa kama mtihani zaidi.
 
Mi sipendi kushea nikigundua nakuacha hili sitanii kabisaa!!!
 
Mapenzi hayana formula inategemea demu kakuelewaje...Kuna wengine wanazimikia mamen ambao cool hawana mambo mengi.
 
Wanawake wengi wanaotembea na waume za watu wengi wanapenda uhuru..wanajua usiku utakuwa kwa mkeo na yeye atatoka Kwenda viwanja au kwa wanaume wengine..wewe unabakia sponsor
 
Aise mie nitakua wa ajabu
Sipendi kabisa mwanaume wangu awe na mwingine zaidi ya mimi

Habari za kushea dudu sio poa jamani
ukitaka wako peke yako itakubid umuumbe Joanah
 
Back
Top Bottom