Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wenye wanawake wengine

Am For Real

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
323
Reaction score
770
Hili linawezekana kuonekana suala la ajabu ila ndyo uhalisia.Mwanaume mwenye mwanamke au wanawake pembeni hupendwa Sana.

Natolea Baadhi ya mifano

1 Ukiwa huna mpenzi kama mwanaume alafu ukamtaka mwanamke.Akikubali kuwa na mahusiano na wewe lakini akagundua huna mzunguko mwingi wa wanawake basi upendo unapungua.

2 Ndoa za wanaocheat zinadumu kuliko wanaume ambao hawacheat.Utakuta mwanamke anasema hapendi michepuko lakini mume wake akipoa Sana BIla kuwa na kashikashi za michepuko utakuta ghafla kapigwa chini.

3 Wanawake wengi ambao hawajaolewa kwanini wanapenda wanaume ambao wapo kwenye ndoa zao??Wakati Kuna mwanaume mwaminifu hana ndoa na anakataliwa Kila siku.

4 Ukiwa unachat na mwanamke usiku akakuuliza unachat na nani zaidi yangu??
Ukimjibu nachat na mwanamke Fulani pia Kuna uwezekano mkubwa wa maongezi kudumu.

Ukimjibu nachat na wewe tu basi hamasa yake inashuka na ndani ya muda mfupi maongezi hata kama yalikuwa mazuri vipi basi yataisha.

KAMA UNABISHA JARIBU.
 
Huo utafiti umeufanyia wapi? Sampling size ilikua kiasi gani? Au nimaono yako binafsi?
 
Kuna jamaa mmoja alijinasibu ya kuwa yupo single hivyo anahitaji huyo Mwanamke awe nae,yule Mwanamke akasema yeye haitaji Mwanaume alie single,ana tatizo gani mpaka awe single,basi jamaa baadae ikabidi ajipapatue arudi kwenye ukweli wake lakini ilikuwa tayari ameshachelewa
 
Back
Top Bottom