Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wenye wanawake wengine

Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wenye wanawake wengine

Bila hata utafiti wa kina,mwanamke ni kiumbe anayependa mashindano,kuchangamka na mwisho anapendelea ashinde na kuchangamshwa zaidi.
Hongera kwa kujua hasa wanawake wanataka NN zaidi mioyoni mwao,wanawake hawapendi utulivu jamani,hata kama kila kitu kiko sawia atataka kuhoji jambo litakaloweza kuleta tafrani au mgogoro.
 
Hili linawezekana kuonekana suala la ajabu ila ndyo uhalisia.Mwanaume mwenye mwanamke au wanawake pembeni hupendwa Sana.

Natolea Baadhi ya mifano

1 Ukiwa huna mpenzi kama mwanaume alafu ukamtaka mwanamke.Akikubali kuwa na mahusiano na wewe lakini akagundua huna mzunguko mwingi wa wanawake basi upendo unapungua.

2 Ndoa za wanaocheat zinadumu kuliko wanaume ambao hawacheat.Utakuta mwanamke anasema hapendi michepuko lakini mume wake akipoa Sana BIla kuwa na kashikashi za michepuko utakuta ghafla kapigwa chini.

3 Wanawake wengi ambao hawajaolewa kwanini wanapenda wanaume ambao wapo kwenye ndoa zao??Wakati Kuna mwanaume mwaminifu hana ndoa na anakataliwa Kila siku.

4 Ukiwa unachat na mwanamke usiku akakuuliza unachat na nani zaidi yangu??
Ukimjibu nachat na mwanamke Fulani pia Kuna uwezekano mkubwa wa maongezi kudumu.

Ukimjibu nachat na wewe tu basi hamasa yake inashuka na ndani ya muda mfupi maongezi hata kama yalikuwa mazuri vipi basi yataisha.

KAMA UNABISHA JARIBU.
Muulizeni kaka Kilichomkuta Hawa viumbe hawaeleweki wanataka chamsingi Upate watoto Tu usiwaze sana
 
Nimemkumbuka DMX
"What they really want from a nigga"
 
Hao ndio wale Wanawake ambao mwisho wao huwa ni majuto tu huwa hawaelewi wanataka Nini mwisho kila mtoto na baba yake
 
Back
Top Bottom