GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mbona hii mada unaipenda sana? Ni mara ya pili unairudia.
Ni kwanini wasiokuwa na Nauli au wamepanda kwa Msaada katika DalaDala ndiyo huwa Wazungumzaji wakubwa ndani ya humo?Thibitisha na nakuomba uiweke hapa sawa?
Zipo nyingi sana ulishaziandika ,ulishaandika mpaka kuiba/kukwepa kulipa nauli kwenye daladala
Kwanini abiria wengi wa daladala wanaojuana huanza kusalimiana na kuchangamkiana baada ya kulipa nauli?Thibitisha na nakuomba uiweke hapa sawa?
Kwanini abiria akijamba ndani ya ' Daladala ' huwa tunaogopana kuulizana aliyetutesa hivyo?Thibitisha na nakuomba uiweke hapa sawa?
Zijue mbinu za Kisasa za Kumkwepa kumlipa nauli Kondakta katika DaladalaThibitisha na nakuomba uiweke hapa sawa?
Zipo nyingi sana ulishaziandika ,ulishaandika mpaka kuiba/kukwepa kulipa nauli kwenye daladala
Wewe ni mpumbavu.Hii ina 'ufanano' upi na 'Uzi' wangu unaosema wasiopenda kulipa Nauli hupenda 'Kujificha' Siti za Kati? Halafu nikiwaita 'Wapumbavu' mnakasirika.
Nitaanza kukaa siti za Kati..nisivyopenda kulipa nauli,[emoji848]
๐๐๐๐Umejuaje Kama napenda kupanda pikipiki ๐njoo tu niwe nakupakia kwenye boxer yangu bureee!!!![emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umejuaje Kama napenda kupanda pikipiki [emoji12]