They say,'To be poor is a crime' and that is how it is.
Kama rais anatamani wananchi wake wawe masikini maana yake ni nini? Ni chuki ya hali ya juu dhidi ya matajiri au watu waliofanikiwa na zaidi ni roho mbaya na ubinafsi tu.
Mawaziri wengi kipindi mkapa ndio rais wengi wao walikuwa wametoka mikoani na baadhi walikuwa wakiishi maeneo ya kawaida,mfano sumaye Temeke,wengine mbezi,tabata na maeneo mengine,hata huyu rais wetu wa sasa hata dar alikuwa hajafika. Zile nyumba za Oysterbay,Masaki walikuwa wakiishi maofisa wa serikali n.k,wivu ndio uliwafanya wale wateule wa Mkapa kufikiria na kuamua kujiuzia zile nyumba baada ya kugundua wengine waliokuwa wakiishi nyumba hizo ni wastaafu.