Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
Sio wote. Mimi siko hivyo.Binadamu wote tuko ivo,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wote. Mimi siko hivyo.Binadamu wote tuko ivo,
unaishi nao vipi hao watu ambao hawana?Habari zenu wanajukwaa,
Binafsi nimekuwa nikijiuliza hii hali ni kwa nini mtu unapokuwa na kitu kizuri kila mtu anakitaka awe nacho ila wengi huumia sana. siku ikitokea umekipoteza watu watafurahi sana na ilhali sio kuwa kitaenda kwa mmoja wa hao wanaochukia.
Ni hulka ya Mwafrika....Ni hulka ya binadamu hasa wenye uelewa mdogo
Duh!Wivu wa kijinga ndio nini dada? wivu ni wivu tu.
Ha ha haKwaiyo unataka kusema tumeumia bashite alivyo upata ukuu au una maanisha nin?
Mambo Aya sanasana mikoani [emoji342]Habari zenu wanajukwaa,