Afadhali sisi mbilikimo hatupo.Kuna aina ya watu humu JF wana tabu sana 😂😂😂
Watu wafupi
Single mothers
😂😂😂 waishie huko huko kwenye wafupiAfadhali sisi mbilikimo hatupo.
Kama huyo hapo.Kwanza nahitaji kujiua mtu mfupi huwa na sm au m ngapi
Wenye magariKuna aina ya watu humu JF wana tabu sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wafupi
Single mothers
Wafupi kuanzia sentimeta ngapi?Kiukweli sijui tatizo nini ila kitu nilichogundua asilimia karibia zote watu wafupi hawapendi kuelekezwa, ni wabishi mnoo hata ukimkosoa sehemu flani kama anakosea anaona kama umemdhalau na hawapendi kukosolewa ,
Je tatizo ni nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wa clorphinixNiliwahi kukutana na kijamaa kimoja cha Kigoma kipindi nipo shule alikuwa anaitwa Zitto Jr yaani kile kijamaa ni kibishi sana. Kinakojoa kitandani halafu kinatakaa kuwa hakijakoa na boxer yake imelowa kabisa.
Hivi na wewe Ni mfupi?Inategemea na unamkosoaje! Ikiwa ni kwa njia za busara hakuna mbishi ila kama kwa minajili ya kufedheheshana hata mie ni mtata.