Ni kwanini watu wafupi huwa hawapendi kukosolewa wala kuelekezwa pale wanapokosea

Ni kwanini watu wafupi huwa hawapendi kukosolewa wala kuelekezwa pale wanapokosea

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
Kiukweli sijui tatizo nini ila kitu nilichogundua asilimia karibia zote watu wafupi hawapendi kuelekezwa, ni wabishi mnoo hata ukimkosoa sehemu flani kama anakosea anaona kama umemdhalau na hawapendi kukosolewa ,

Je tatizo ni nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza nahitaji kujiua mtu mfupi huwa na sm au m ngapi
Kama huyo hapo.
images-2.jpeg


dodge
 
Kweli watu wafupi ni shida.

Kuna kamoja hapa kila kitu ni yeye. Kuongea ni yeye, kujiinua ni yeye, kujimwambafai ni yeye, ujuaji ni yeye, kujigamba ni yeye. Kila kitu yeye.

Ubishi, Gubu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom