Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mfano baba anaitwa Juma hatotaka mwanae amuite wee Juma Ila atataka amuite baba au mama anaitwa Esta. Hatoruhusu mtoto wake amuite Esta Ila amuite mama.Je Kuna shida gani mwanao akikuita jina lako?
Hapa kwa mwajiri umekosea sana. Ni huku Afrika ndiko kwenye huu ujinga. Majuu bosi unamwita jina lake, tena la kwanza.Unaonekana we ni kijana mdogo almaarufu Gen Z, kuita baba/mama/shangazi/mjomba inaweka heshima kati ya mzazi na mwanae, bila hivyo hapatakuwa na heshima, jina/namna unavyoita mtu inaleta picha halisi unamueshimu mtu kwa kiasi gani...
...
mfano, mfanyakazi kumuita mwajiri wake Jacob ni anamkosea heshima lakini akimuita Bosi Jacob/mkurugenzi inaleta heshima kuonesha yupi mkubwa yupi mdogo.
HESHIMA ndio sababu mkuu
ndio maana ukasema huko majuu, sisi tupo Afrika sio majuuHapa kwa mwajiri umekosea sana. Ni huku Afrika ndiko kwenye huu ujinga. Majuu bosi unamwita jina lake, tena la kwanza.
Mwanangu wa kike anayeitwa Mary alipokuwa mdogo alikuwa ananiita ''baba Mary'' muda wote kwa sababu alikuwa anasikia watu wakiniita hivyo.Ukiachana na hayo!
Mwanaume unaitwaje "Baba Amina" "Baba Rose" Baba Queen" Baba Suzy"😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂
nice nimeipenda hio chamsingi neno baba liwepoMwanangu wa kike anayeitwa Mary alipokuwa mdogo alikuwa ananiita ''baba Mary'' muda wote kwa sababu alikuwa anasikia watu wakiniita hivyo.
Kwa hiyo mwanaume aitwaje?Ukiachana na hayo!
Mwanaume unaitwaje "Baba Amina" "Baba Rose" Baba Queen" Baba Suzy"😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umewaza nn?Ukiachana na hayo!
Mwanaume unaitwaje "Baba Amina" "Baba Rose" Baba Queen" Baba Suzy"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule demu uliyesema ni mwanzo, kakusevu LIKUDBOY, nimeshuhudia Leo tulikuwa kinyerezi😀🏃♂️Kwenye simu amekusevu jina lako halisi Mtemaganya