Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Maelezo yako naona umetoka nje ya beat mkuu😅Vijana wa kizazi hiki ni wavivu kupitiliza:
1. Shuka anafua mala moja kwa mwaka
2. Blanketi likitoka dukani halioni maji mpaka linachakaa
3. Kuoga mara moja kwa wiki
4. Nguo ya ndani kufuliwa Mara moja kwa wiki
5. Chumbani kwake ni vuruvuru kama pango la mbweha
6. nk (Tafadhali wazee wenzangu ongezeeni, maana ni mengi mnoo!!)
Kwasababu walizaliwa wakati wa ukoloni.Yaani hawa wazee hadi leo hii bado wana mambo yale ya
1. Kuchaguliana wachumba
2. Mpaka leo hii bado zile itikadi za vyama vingi wanaona vitaleta vita
3. Wagumu kubadilika kulingana na nyakati mpaka leo hii bado wanafata sera za Nyerere
4. Mtoto kama amemsomesha amekosa kazi wanaona ni uzembe wake mwenyewe
5. Zile itikadi za mtoto kujitegemea hawakabiliani nazo mpka awe na kazi nzuli
6. Wakizaa mtoto nje ya ndoa ni wagumu kuhudumia ila mtoto akifanikiwa wanataka awasaidie
Je shida nini hawa wazee ni wagumu kubadilika hadi leo hii bado wana itikadi za wakoloni?
Wewe wakoloni umewajulia wapi?Yaani hawa wazee hadi leo hii bado wana mambo yale ya
1. Kuchaguliana wachumba
2. Mpaka leo hii bado zile itikadi za vyama vingi wanaona vitaleta vita
3. Wagumu kubadilika kulingana na nyakati mpaka leo hii bado wanafata sera za Nyerere
4. Mtoto kama amemsomesha amekosa kazi wanaona ni uzembe wake mwenyewe
5. Zile itikadi za mtoto kujitegemea hawakabiliani nazo mpka awe na kazi nzuli
6. Wakizaa mtoto nje ya ndoa ni wagumu kuhudumia ila mtoto akifanikiwa wanataka awasaidie
Je shida nini hawa wazee ni wagumu kubadilika hadi leo hii bado wana itikadi za wakoloni?
Ni maisha waliyoishi hivyo, zamani mtoto akizaliwa anakuzwa na Jamii hata ukifanya jambo baya uaadhibiwa na mtu yoyote, hata ukitaka kutumea kitu mtutu yoyote mkubwa wako anakutuma na unaendaYaani hawa wazee hadi leo hii bado wana mambo yale ya